AhahhahahaHahahaaaaa!!!!
Heaven Sent njoo ujichagulie character kabisaaa maana sio kwa balaa hili linalokuja.
Samaritan ndio maana kumbe umekazana kweli na auntie yangu Shunie!!! Kumbe unamdanganya we ndio MOTP!!!! Ole wako!!!!!!!!
Kwani bado haujatuma tuAunt yako anataka ubuyu wa babu Issa tu. Ndio maana nikaona isiwe tabu, nikutumie wewe umpatie.
Mama mchungaji ameamua tu kuntilia wivu, MOTP atakua Samaritan ndugu wasomaji? Naona tu KLM ameamua kuweka commercial break wakati anasikilizia uchovu wa Msomali wake..
ungekuwa karibu tungepozana kidizaini siunajua ukizidiwa na shida[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana nilikwambia lakini
Dude limekuja 18+ukisoma lazima sally/msomali wako awe pembeni lasivyo ni shida
ahahahahhaahMsikate tamaaa nipo na dude nashushaaaa! Kuna story mpyaaaa! Jituuu kama MOTP story zake! Anakwambia kala wadada karibia 50 wa humu jf eti si kwa nia mbayaaa! ALIKUWA ANATAFUTA MKE. Mtaniuaaaaa kwa kusimuliaaaa. Kitu cha THE WIFE HUNTER KINAKUJAAAA. Na bado hajaoaaaa.
kuwa W ndo ile character tunatumia ID za humu. Samaritan ndo TWH! Afu Samaritan ana kesi ya kumu impersonate Man Of The People na kujilia nyuchiii za kutoshaaa. MOTP Kahifanya ghost inavosemakanaa lakini. Mzee mzima Samaritan kuhisiwa hisiwa MOTP akaona fursaaa ndo hio. Akajivisha uhusikaa. Kala kala nyuchi si haba inavosemekana lakini.
Ila wanawake sisi, come on! Hivi MOTP aneweza kuwa Samaritan our pal LIKE SERIOUSLY!!! Hahahaaa! Mda mwingine mnajiingiza kingi wenyeweeee.
Hhahahaaaaaa ila msomali ni shidaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]sally hakutaka shida ya nini afie kifuani
Kwani bado haujatuma tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] naona wameishaanza kukujengea vibanda vya fitina,kuwa makini na mama mchungaji.Hili movie lishaingia dosari mwamba, naona ukungu tu kwenye mwendelezo. Huyu mama mchungaji kuna namna sio bure.. kana alishashtuka mapema kwamba sadaka inatafutwa hapa. Dude linataka kufika tamati utukufu kwa Bwana sijauona kabisaaaaa ...tumeishia kupiga show Jumapili tu.
Sasa ili kupunguza machungu, mie ndio nimekua mbaya eti of all the people!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] naona wameishaanza kukujengea vibanda vya fitina,kuwa makini na mama mchungaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msikate tamaaa nipo na dude nashushaaaa! Kuna story mpyaaaa! Jituuu kama MOTP story zake! Anakwambia kala wadada karibia 50 wa humu jf eti si kwa nia mbayaaa! ALIKUWA ANATAFUTA MKE. Mtaniuaaaaa kwa kusimuliaaaa. Kitu cha THE WIFE HUNTER KINAKUJAAAA. Na bado hajaoaaaa.
kuwa W ndo ile character tunatumia ID za humu. Samaritan ndo TWH! Afu Samaritan ana kesi ya kumu impersonate Man Of The People na kujilia nyuchiii za kutoshaaa. MOTP Kahifanya ghost inavosemakanaa lakini. Mzee mzima Samaritan kuhisiwa hisiwa MOTP akaona fursaaa ndo hio. Akajivisha uhusikaa. Kala kala nyuchi si haba inavosemekana lakini.
Ila wanawake sisi, come on! Hivi MOTP aneweza kuwa Samaritan our pal LIKE SERIOUSLY!!! Hahahaaa! Mda mwingine mnajiingiza kingi wenyeweeee.
Hahahhha kwahiyo Samaritan amechukua point 3 kirahisi rahisi kabisa.Msikate tamaaa nipo na dude nashushaaaa! Kuna story mpyaaaa! Jituuu kama MOTP story zake! Anakwambia kala wadada karibia 50 wa humu jf eti si kwa nia mbayaaa! ALIKUWA ANATAFUTA MKE. Mtaniuaaaaa kwa kusimuliaaaa. Kitu cha THE WIFE HUNTER KINAKUJAAAA. Na bado hajaoaaaa.
kuwa W ndo ile character tunatumia ID za humu. Samaritan ndo TWH! Afu Samaritan ana kesi ya kumu impersonate Man Of The People na kujilia nyuchiii za kutoshaaa. MOTP Kahifanya ghost inavosemakanaa lakini. Mzee mzima Samaritan kuhisiwa hisiwa MOTP akaona fursaaa ndo hio. Akajivisha uhusikaa. Kala kala nyuchi si haba inavosemekana lakini.
Ila wanawake sisi, come on! Hivi MOTP aneweza kuwa Samaritan our pal LIKE SERIOUSLY!!! Hahahaaa! Mda mwingine mnajiingiza kingi wenyeweeee.
Mbona baba Winnie mlimsimanga?Hahahhha kwahiyo Samaritan amechukua point 3 kirahisi rahisi kabisa.
Japo siku hizi nimekuwa mchekelewaji sana humu, Bado nipo na msomali [emoji137].
I guess msomali atasepa marekani atarudi akiwa loaded balaa sally kyupi kitambana!
Kuna ile point ambao sote tulikuwa nobodies, broke AF hadi tulivyopata wakutushika mkono jamani, kwahiyo msomali aachwe!
Karma thing [emoji1]Mbona baba Winnie mlimsimanga?
You guys are having a taste of your own medicine!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Let's just hope msomali hazamii jumla!
- KANA -
I suggest you enjoy your happy moment while you still can!Karma thing [emoji1]
wakwetu mbona mkwe wa mama ako ana jina kama la mwanangu jamani?Hapana auntie mkweo ni lee tu jaman me siwezi mambo ya wanaume wawili
Jaman labda mwanaowakwetu mbona mkwe wa mama ako ana jina kama la mwanangu jamani?
We mama ake bwana hufai kuwa.mkwe wangu..Jaman labda mwanao