Weekend Story! Glory Be To God!

Hahaa sixpack si baada ya kumuona Dee ila lara mbaya sana kanifanya niwaze msomali anavyofanya mazoezi[emoji85] [emoji85] [emoji85] team msomali mshindwe kunivutia
Haha me nilitaka niombe na picha kabisa. Teh msomali anatoa silaha zote za maangamizi, shurti kusecure your territory. Yani hata sally akienda kwa Dee, atarudi tu kwa msomali, pale ndo panaitwa "Mtakuja"[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]

Teh mtamanie tu
 
Hahaa mwambie msomali tuache kutiana majaribuni,mazoezi gani unafanya na boxa?si kutiana majaribuni huku?na lara anavyojua kumpamba sasa [emoji2][emoji2][emoji2]acha kabisa
 
Ngoja nije nikuhonge jina langu lisitumike.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]espy anakua sally na wewe msomali[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzo nilikuwa sijaelewa kwanini mnasema hivyo, haki nimechekaaa!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo atanipangia zamu ya kupiga deki

- KANA -
Yaani na kupika itabidi upikie kuni ili ukome vizuri[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ila Lara atakua team msomali sio kwa kumsifia huko free p [emoji23][emoji23][emoji23]

sent from paradise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…