Weekend Story! Glory Be To God!

Mimi team Dee

Subirini nitoke Kinshasa, ntakuja na vumbi la Congo (Congo dust).

Tutaelewana tuuuu!

- KANA -
Khaaah kumbe unarudi na vumbi la kongo!!! Kumbe thats all you can do!!! Ndio maana ulitapeliwa.
 
Yaani ningemtimuaaa, akasombe hata maji huko[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mwanaume asiekua na pesa kukaa nyumbani mwisho siku 5 ikifika siku ya 6 akabebe hata mchanga barabarani
 
Sio mario, mi team Dee

Sema namuhurumia al-shabab, men should stick together!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

- KANA -
Naona mnajitahidi ku"stick together"...acha nimsubiri Dee arudi mana kidogo yeye anaakili ya kutafuta maisha
 
Khaaah kumbe unarudi na vumbi la kongo!!! Kumbe thats all you can do!!! Ndio maana ulitapeliwa.
Sasa hela nimekosa, hata msingi kiuno unishinde?

Au unataka nijiunge na waasi ndo ufurahi?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

- KANA -
 
Naona mnajitahidi ku"stick together"...acha nimsubiri Dee arudi mana kidogo yeye anaakili ya kutafuta maisha
Yeah, mi niko team Dee asee.

Sema kwakua hayupo namuangalia al-shabab anavyo wanyoosha!

- KANA -
 
Sasa hela nimekosa, hata msingi kiuno unishinde?

Au unataka nijiunge na waasi ndo ufurahi?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

- KANA -
Tayari wewe ni muasi, mwanaume utakuwaje msingi kiuno!!!
 
Al shabaab anajinyoosha mwenyewe mwisho avunjike kiuno bure
Mshampatia mtaji wa simu, kesho mtamhonga ghorofa. Sasa nani hapendi kitonga!

Yani al-shabab kapata maganda ya ndizi, full kutelezaaa

- KANA -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…