Weekend Story! Glory Be To God!

Bora tu utule viboga wote, ila ukipendelea tu..................
 
Aaah sasa lara mbona unaanza kuleta mambo ya huruma tena. Wewe endelea tu kama ulivyokuwa umepanga teh
 
Lara wengine hata la kuongea hatuna
 
Aaah sasa lara mbona unaanza kuleta mambo ya huruma tena. Wewe endelea tu kama ulivyokuwa umepanga teh

Ukistaajabu ya Team Dee, kumpa ofa kuntuuu ya kumnunulia Msomali KY, utayaona ya Team Msomali kusherekea hasimu wao Dee kukutwa na Tunguli.

What i dont get is why Samaritan ndo anatupiwa lawama zote za ufisadii?????????? WHY KWANINI. Nyie ngojeni nisha ahidi HII STORY ISIPOKULA TIGO LAZIMA IKUPIGE CHUMA MBOGA. MPAKA TEAM B MTAFURAHIA SHOW.
 
Me sielewi wanamlaumu tu Samaritan. Mtu si alienda mweyewe Congo kubeba vyungu hahhaha
 
Samaritan ndio aloapeal story iendelee, na anajulikana kwa kukuhonga. Kwahiyo tunasubiri tu tuone natuthibitishe.
 
wewe endelea tu mama la mama, tulikana viboga poa tu wala usipindishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…