Weekend Story! Glory Be To God!

Mshaurini msomali ajisalimishe kwa gwajima amuamshie dude mapemaaaa.

Alafu hebu kati yenu aloiba avatar ya mwenzie arudishe, mnatuchanganya. Sijui mlikubaliana na lara 1 au ni part ya deal la kumsafisha msomali ila its anoying.
 
Unategemea nini wakati Sally mwenyewe Komando Kipensi Bibi Ubaya mithili ya KLM?

Nimechfka sana, eti Sally na familia yake wanasali sana...nna walakini sana uponyaji wa Dee na uchaji Mungu wa Sally, sio nzuri sana kwa sie team Msomali.
Naomba ubadili avatr mkuu, please!
 
Hhahaha[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Magaidi yanayochinja watu bila huruma wala hatia hamyaoni wala kuyatumia moto. Kweli maisha bila unafiki hayaendi!!
 
Samaritan always anaplay dirty, na lara 1 anacheza muziki wake.
 
lara 1 Afu na safari hii ujifanye ''ooh sijui stori imeishia hapa,sijui ujinga ujinga gani'' ...utapigwa pipe la masikio dadeq!
Ukifuga misukule ujue na kuilisha......isisumbue wananchi bure kitaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You made my evening.
 
Nilivyosikia stori inaendelea nilijua tu lazima Dee akaangwe
Kwakuwa director uneamua basi sawa
Asitutanie, tunasubiri dude, maana kaanza kumsafisha msomali kwa kujifanya B ana maongezi na saly, na anajua akimweleza saly ukweli hawezi kukubali baba mtoto wake akaangwe huku akiwa anaangalia.
lara 1 nakuombea tezi jike lile liloshindwa kumpata MOTP.
 
Kuna mtu anampandia dau aandike anavyotaka yeye si bure
Naona dalili ya msomali kusafishwa
Yaani nimejikuta nakosa mzuka wa kuendelea kusoma tena[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…