Kila mara nakuja kuchungulia apa ili ni isindikize sikukuu vyema
Nkikuta hola nanyong'onyeaaa na hivi nkiwaza Msomali ndo kabisaaaaaa
Hahahaha nmeanza kuona hii picha nkajua karudiNipo na vijana wa kazi tunaandaa atomic nyuklia bom kumsambaratisha kabisa KLM katuweka sana
Napita kuchungulia tu
Ucwaze Sana Wng kua na subra msomali niko solama!Kila mara nakuja kuchungulia apa ili ni isindikize sikukuu vyema
Nkikuta hola nanyong'onyeaaa na hivi nkiwaza Msomali ndo kabisaaaaaa
Ya kumpa ushindi wa mezani msomali?Jamani fanani bado anapata semina elekezi. Sio kwa uhasama huuuu
Fanani anachakachua story sio kwa ukimya huoJamani fanani bado anapata semina elekezi. Sio kwa uhasama huuuu
KabisaaaaHuu ubuyu sasa naona umekua Ukwaju.
Badoo