[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha me nakuwa honest bana, siwezi kumtetea pa kumtelekeza mtoto wake, ni mpumbavu sana. Sally anamuomba mtaji anamnyima while ndiye aliyemtoa k/koo, bado mtaji huo huo ungetumika kuendeshea maisha ya mwanae. Kuna kitu nilitaka kusema ila lara atageuza gear angani teh
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Haha sally sally KM. Msomali pambaff sana
C.c espy Shunie Qurie -KANA- carbamazepine Samaritan binti kiziwi hill and portion PSNO Tarime one CHOKAMBOVU topr Tumosa Kadada red apple maiye @rubuye1 et al
[emoji3] [emoji3] [emoji3]leo nikitoa neno nahic itakuwa laana tu kwa wale wanaume wawili, acha niishie tu kung'ata meno kwa uchungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, kweli watu wanabadilika.
Nae kahtan alikuja omba samahani kwa nyuzi zale zile za zamani.
Kwanza kabisa nmechelewa pili sina cha Ku comment tatu nichagulieni tusi la kumpa msomaliHaha sally sally KM. Msomali pambaff sana
C.c espy Shunie Qurie -KANA- carbamazepine Samaritan binti kiziwi hill and portion PSNO Tarime one CHOKAMBOVU topr Tumosa Kadada red apple maiye @rubuye1 et al
Mmhh iv kumbe tonny yupogoWoyoooo woyooooo I'm team toney twanyakua mtoto mbwa wote watajuuuiita amna msomali wala mzaramooooo
Yaan dee ni delicious msomali ni kaoge shwaini kabisaHaha lara hatakagi utabiri. Ila Dee na msomali wote nimewatoa kwenye list ya wanaume
Haha matusi yake atayapata kwa SallyKwanza kabisa nmechelewa pili sina cha Ku comment tatu nichagulieni tusi la kumpa msomali
Asante mwaya ndo nimetoka kuisoma hiviHaha sally sally KM. Msomali pambaff sana
C.c espy Shunie Qurie -KANA- carbamazepine Samaritan binti kiziwi hill and portion PSNO Tarime one CHOKAMBOVU topr Tumosa Kadada red apple maiye @rubuye1 et al
Umesemaaaa sijasikia rudia tena Dee na nani sio wanaume?[emoji23][emoji23]Haha lara hatakagi utabiri. Ila Dee na msomali wote nimewatoa kwenye list ya wanaume
Yaani ni bora umfadhiri mbuzi utamla mchuzi au hata nyama choma ushushie na balimi[emoji23][emoji23][emoji23]ila si msomali bumbavu kabisaMi bado sioni kosa la Dee, ndo maana hata Sally hana hasira nae kama ilivo kwa msomali.
Al-shabab lenu limeshindwa hata kutunza mwanae! Limesahau lilivo okotwa kariakoo!
Sally amchomeshe uhamiaji shubamit.
- KANA -
Vipi mbona unmkana msomali wako lakini?Dee alimfanya vibaya bana
Msomali abaki tu Tz, ili azishuhudie vizuri bakora za Sally. Atakumbuka tu k/koo alipookotwa