NOPE! I STICK TO THIS 1! You need a new person to keep up with! Kama utumbo wanguuuu, acha niwapikie supu watu wangu wa nguvu. Hauna shida na mtuuuu, tunajisomea tunafurahi week end hiii. It is free country, na sheria zinaruhusu FREEDOM OF SPEECH.
If you have something better to do, please PROCEED, hatujakuzuia, wala kukuomba uake nasi. ACHA WAFU TUZIKE WAFU WETU.
Huwa sinaga time na mistori yako lakini nimegundua kitu acha nianze kufuatilia, sitak kuwa na roho mbaya acha nafurahi na homosapiens wenzangu maisha yenyewe ndo haya haya kuna kifo pia
Opinion yangu naona ukuje na hio nyingine tofauti na diaspora