binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,099
- 40,696
Najiachia tu humu kama uchebe [emoji23][emoji23][emoji23] akiiii Lara1!
Miss u Lara [emoji8][emoji8][emoji8]Vitu vya 4G LITE na 3D. Tulia hapo hapooo. Laki si pesa millioni deni
atakuwa ka msomalNadhani utakua mwanadada mrembo sana lara 1
hahaha waendelea saa ngap mupenzUche
Uchebe mpemba yuleeee! Akikasirika akaenda kwao pemba nitaanza kuandika story za kiarabu
Nimefika mama ngoja nitasoma.
Kubwa La maadui.... Nilikumiss mbaya maana story zako zinafurahisha, zinatufundisha kubwa kuliko yote zinatunyegesha[emoji533] [emoji39]Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Msione niko kimya mambo ni fire! Yaani niko busy hatari hatariiii. Still i managed to make time kuwapeni story. Vile nimekaa kimya mmenifariji sanaa kunicheki inbobo, Lara story lini, story lini. Mnanijulia hali na nini. Niseme tu Merci!!!!!!
Sasa nasafiri this weeke transit nakuwa na masaa kibaooo na wifi za bureeee, why not nisiwaletee mastory. Maaana nina mastory kibaooooo. Sijui nianze wapi nimalizie wapi. So much has gone down na najua vile mnapendaga ubuyuuuuuu.
Stay Tuned! Tunaanza usiku huuuu huuuu. Nitaipeleka mpera mpera kidogo, tushakuwa wahenga mda ni tatizooo.