Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

We mwanamke mbona unapenda kunitesa na story zako hizi za kichokozi?
 
The Beauty and the beast! Mommy JJ.



''Nina nyege sanaa na wewe''.

''Mh hutumiii kiboga? Hujiskiiii hata kujaribu maybe kujifunza, maana uwanja wa kujifunzia nipo hapa''.


hahahahahaha......Sijui kama wakati unaandika ulitegemea mistari hii iwe na effect kubwa hivi...........nimecheka kama mwehu!!
We msengery usiwe unakaa kimya sana sasa,japo hatukulipi.
Ujue kufuga misukule dhambi,ila ni dhambi isiyosameheka kuinyima au kuicheleweshea unga/kuilisha.
 
Hii video itakapo kuja kuvuja akili zitawakaa sawa.
Halafu nina wasiwasi na viv asijemtumoa Dr hizi picha maana....
Ila bibi T nuksi eti anamfuatilia kwa ukaribu hahaa
 
[emoji28][emoji28][emoji28] bibi T hana maana kabisa. Anapiga doria maisha ya mjukuu.
Thank you Lara 1 [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bibi T bana etii... Nakuona nakuona unajisevia tu nyuchi!!
 
Dah! Manineer!

Yani hata kunishtua mkaona nitafaidi sana sio?

Nimekuja sasa mjeda mwenyewe.

Alafu Lara 1 fanya mpango unitumie hako ka video ka mjeda na queen V kama kameshavuja!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

I missed you guys!
 
Nimemkumbuka mjeda ghafla

Mjeda popote ulipō njoo nikutunuku japo kimoja cha ukumbusho.
Wajeda tupo wengi, kua specific mjeda yupi?

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Dah! Manineer!

Yani hata kunishtua mkaona nitafaidi sana sio?

Nimekuja sasa mjeda mwenyewe.

Alafu Lara 1 fanya mpango unitumie hako ka video ka mjeda na queen V kama kameshavuja!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

I missed you guys!
Post #93 nilikuita jamani MOTP
 
Back
Top Bottom