Weekend story! BEN 10

Weekend story! BEN 10

Msilalamike sana nawalete episode ingine usiku huu! WANAWAKE OYEEEEEE!
Duuh Sam kapatikanaa
Ila Jane jmn khahhh sijui cause alisota sn kumpata maskini
Tunasubiri next mama...una kipajiii zaidi ya Scoffield
 
Hahaa mamaee " sasa Sam keshapiga mihela kibao then bado tu anaishi ishi kiboya kwa mtesi Wake Jane ..si uboya huo
 
Ndugu wasomaji mpaka mda huu bado mnaniona gaidiii la magaidiii! Msimuamini Kyle kwa kuniona mimi nina roho ngumu sana! La hasha ndugu wasomaji! Mimi kweli nina roho ngumu mithili ya mchongoma ila sio kwa Kyle! Anabahati tu ya kupata kibali cha moyo wangu! Sema hajajua kukitumia!

Tuanze siku ya fumanizi! Hans kaja! Hakuvamiaa! Alianza kuita Kyle tangu yupo nje! Nikamwambia Kyle please stay with me! Wacha hii ndo iwe siku ya mwisho ya wewe na Hans! I know una nipenda mimi basi kaa huku kwangu moja kwa moja!

Niliongea maneno hayo toka moyoni ndugu msomaji! Ukumbuke ndo tulikuwa kwenye kochi! Na ashapata vibali vyote vya kichwa, moyo na roho! Vibali vi 3 tofauti hivo ndugu msomaji na nilimpa vyoteeee! And i was ready to make her my official woman! Whats did she do?

Akaanza oooh siwezi kumuacha Hans hivi? He was so nice to me! Na ungese ungese mwingi tu ndigu msomaji! Alikosa kusema tu anamfanyaga vizuri tu labda! Hans akawa ameingia! Anamwambia twende nyumbani! Mi nikawa nimemshika mkono Kyle baki na mimi and i said please! I realy say please but i said please just for her! What did she do? She chose Hans over me!

Kabiacha uchi wa mnyama kwenye bar yangi kama mngese flabi hivi! Kapita kati kati ya wafanyakazi wangu na bwana wake! Kama kunivua nguobasi alinivua njia panda akanifyeka na korodani kabisaa! Niliumiaaa roho ndugu msomajiii acha kabisaa!

Still i was hoping may e anaenda kuaga atarusi siku hio hio! Maybe yes Hans doeserved a little respect anaenda kumwambia its over! Nika mtext Please Come back baby! I am waiting for you! Ndp maana jane alivokuja kitaka tuliendeleze nikamgomea! Nilimngojea usiku kucha! Alirudi sasa? Waaapi! Nikampa extension ya siku 3 hakunitafuta wala nini! Si alishafanya maamuzi huyo na hakunichagua mimi!

Niliumia na kitibuka tibuka vuzi zooote! Nikasema huyu mwanamke baaaaas! Ndo maana Jane alinikuta sina mwanamke na sababu mwanamke wangu wa zamani nikakubali kujaribu tena! Mda ushakuwa adui yetu! Kila mtu kashabadilika sana! Alichonifanya nimuache haraka kuliko upesi kutaka kujua kila kitu! Hizi kazi zetu mwanamke wa hivi hafai kabisaaa!

Nikamuanzia visaaa! Makusudi tu! Sikutaka nimuache mimi maana ngeningangania! Nilitaka ashindwe mwenyewe aachie ngazi! Aliniambia yupo jeshini ila sikufatilia kujua kama ni boss kubwa huko! Untill it was too late! Na nilimfanyia visa kweli kweli! Hawezi kunitaka tena siokwa kumloga wala kumlisha shuntama!

Niko na Jane, i made her official cause we have a bond! Kyle ndo kunitafuta sasa! Zomepita kama wiki 2! Nilimpa majibu aliostahili kwa kweli! Sababu nishamuona ni mngese! Anataka kutupanga na Hans! Sasa mimi sipangwiiii! Ndo maana nikampunguzia kazi kwa kujitoa ili abakie Hans peke yake anae mnyenyekea ujinga wake mi nifanye mambo mengine!

Nikasikia tu Hans kapata ma boss waturuki anafanya nao kazi wanamletea suppy kubwa! Sikushangaaa! The boy had it in him! So ilitegemewa sooner or later someone will spot his talent! And he was good! Really good!

Akaenda na wakati mambo ya online business! Mambo ya country wide distribution system! He was good! And he ate my share! Nikaumiza sanaa kichwa napambana nae vipi? Maana mimi unga naleta kidogo kwa kutumia punda! Wanabeba max 2 kg! Wenzangu wanaleta semitrella! Ni uongo! I needed a connect! Na Hhans kutumia connection ya jeshi ilikuwa moja kubwa sanaaaa!

Nikaja kujua Kyle kaachana na Hans! Anaishi peke yake! Akaja ofisini kunihubiria niokoke! Nikawa naenda kanisani kwa Moza the fraud! Mozah alijaribu sanaa kutuunganisha na Kyle ila ndo hivo mimi sikuwa na nia tena kabisaaa!

Japo kwa mbali nilikuwa namuona, namtamani na nampenda ila vibali sasa ndo vimesha expire! Mimi moyo wangu kutoa kibali ni nadra sanaa! Hata Hans nikikutana nae ananiambia nimekuachia uoe uweke ndani sasa! Umenisumbua sanaa! Namwambia mimi nakukabidhi wewe mdogo wangu! Nimekususia jumla jumla bishajiweka pembeni! Akaniambia mimi fumanizo lenu limeniathiri kisaikolojia zigo siliwezi tena! Jogoo hapandi mtungi tena keshakuwa dada yangu! Kama umeniloga iwe hivo muongezee pesa mtaalamu! Mi namwambia hapanaaa! Mie nakupa wewe!

Akawa pastor! She is smart! Anahubiri mambo ya msingi! Unaona huyu kichwani zimoo! Watu wakaanza kuongea Ghost kafilisika! Nafilisikaje kwa mfano? Sawa maybe my drugs busoness was in shambles yes ila mimi nimewekeza kwenye mambo mengi sanaaa!

Nimewekeza kwenye kufuga! Nina ngombe kama 60,000 Arusha huko na bado wanazaliana! Acha mifugo takataka kama kuku, mbuzi, kondoo! Idadi yake kamili sina! Ila ni wengi mnoo! Nalima Ghost na ku export ufuta! Nina kiwanda cha kukamua alizeti!

Acha apprrment nazomiliki all over rhe qorld nachukua kodi! Nimewekeza sanaa kwenye real estate! Dubai nina kama 15! Doha 7! Uk 8, US 12! Paris 6 Sydney 9, nakadhalika! In total nina appartment 100 na zaidi duniani! Sasa nafilisokaje nawauliza nyie ndugu wasomaji wenye viherehere!

Kariako nina ghorofa 6! Na maduka ya takataka za kila aina! Naleta kontena la chaja za simu, cover, earphones, betri uchafu kama wote! Kotu kila house hold inatumia! Na unalipa balaa! Naleta henkachief, tochi, wembe, taulo, na mataka taka ya machinga hawa wa barabarani kontena 10 kumi! Zibapishana! Unatembea balaa! Nalaza pesa ndogo natoa kubwa! Nina hotelikariakoo hapa nalaza wazambia, malawi, congo etc!

Nina bucha za nyama na samaki stand zote kubwa za daladala na masoko yote! Mama lishe wote wa maeneo haya hot hot wanapika nyama zangu za ngombe maana mimi ndo vunja bei, samaki wangu, na kuku wangu! Na sidalaliii wanaletwa kutoka kwenye ranch yangu Arusha! Ranch yangu ndo inahudumia hizi bucha!

Ndugu msomaji kufilisika mimi labda kwanza umfilisi masikini kwanza! Acha guest house chalinze, nzega, tunduma, mtukula, namanga na boda zote muhimu! Mimi kufilisika bado sanaaa! Labda dunia iumbwe upyaaaa! Mizizi yangu ishakuwa mipana sanaa na imetambaa chini mnoo!

Hukukote napata pesa halali ila drug business ismy passion! Na enjoy kui run! Hizo zingine zotee nimeweka watu wenye passion hizo wasimamie! Na faida ya drugs ni balaaa. Sio biashara ya kuacha kizembembe!

Watu walivoanza kuona nafilisika nikataka kuwabishia then nikase!a anyway ngoja tuone nani ni nani kwangu nikiwa sina pesa au wakiamini sina pesa! Na kweli watu wakaanza madharau! Wachache wakawa wananionea aibu! Wengi wakaanza ku decamp kwa Hans! Waliobaki nikawauliza nikifunga inakuwaje?Wakasema tutatafuta kazi halali! Nikajua hawa ndo watu wangu!

Nikapata wazo mizigo ya missionary haikaguliwi! Inapita kitongaaa! Na ndo the only way naweza leta madawa ya kutoshaaa! Nikatafuta supplier! Sio kazi kupata supplier! Kazi kuingiza sokoni! Nishaisoma model ya Hans kui copy ni dakika 10! Tatizola online unajianika na kujimanua kwa adui yako mnooo mnoo! Niliingia online kwenye site yake dakika10 tu nikawa nishamuacha uchi wa mnyama najua kila kitu! Ndo maana mzungu hauzi unga online hata siku moja!

I neende church connect! Na mlokole haingiliki kabisaa! Kyle ndo pastor msaidizi afu ashapata experience ya kutosha! Nikaanza kwanza kumlainisha! Wapi kama gamba la kobe! Wanawake wote ni kama boflo tu, chai ikiwa ya motovizuri lazima walainike!

Akanipa date! Mkavuuu balaa. Nikamwambia lengo langu mapemaaa! Akanipa cha mbavuuu! Sikutegemea akubali kirahisi hivo! Nikamuomba date ya 2akaninyima! Kwanza date ya kwanza kuniambia akiuza madawa atauza ya Hans ilinichefuaaa! Ndo maana hili limwanamke nalifanyaga vibaya! Kauli zake chafu chafu sanaa!

Nikamfata ofisini na kumwambia ombi langu ni lile lile abisikilize mpaka mwisho! Ni kwamba nataka kufungua kanisa langu! I want to open my own church ndo nifanye hizo mission! Ila namuomba na kumuhitaji yeye aje awe mchungaji kwenye hilo kanisaa sababu ni ordained pastor! Nitamlipa mshahara wowote anaotaka!

Akaanza kubisha! Nikamwamvia najua this church is fraud also! Kwanza she will make more money as my pastor than now! Kama kina TD Jakes nitamletea mimi kwa peaa yangu! Pastor yoyote hata bwana wa Megan Good! Every thing she makes on seminars etc ni juu yake yeye! Mimi i just need the cover! Akakataa tena!

Ikabaki haina namna ya kumfanya afanye nachokitaka zaidi ya kumhadaa kimahaba! Nimlale afu ndo twende sawa! Maana anakuwa haelewi! Na hii proposal ni nzuri mno kwake hamna sababu yoyote ya yeye kuikataa zaidi ya kinyongo cha kunikosa mimi kama bwana wake! Anachotaka kingine anazunguka zunguka tu! Nikapanga kumpa anachotaka! Mradi tu twende sawa!

Mjue mimi Kyle namjua sanaaaa! Kuliko nyie ndugu wasomaji! Anapenda michezo ya paka na chui yuleeee! Mpaka umleee umfanyie timing za paka na panya! Sio mwepesi wa kukubali nime muhamu nanyeye kani hamu basi tupeane! Mpaka umtengenezeee mazingira ajiridhishe kinafki hakuwa na jinsi zaodo ya kukubali ndo utakula papa! Sasa nasemaje ndugu wasomaji nijo tayari!

Si ashanikataaa! Nikatengeneza profile mimi pastor wa Congo! Nikaweka picha kijana mzuri hatariii na best yangu mmoja Mcongo! Nikawa na google mahubiri nayaweka! Naweka picha na makutano ya watu wamefurikaaa! Madai yangu Congo huko! Nijairun ile pange miezi mi tatu! Ikajaa post vizurii! Na followers nikanunua wakutosha! Nikamfollow nae akani follow back!

Nikaanza ku Dm mambo ya kiibada! Baadae nikamchomekea natafuta mke! Akiniangalia profile yangu bonge ya Hb na Mungu namjua! Nikasikia na Mozah wanafunga nankuomba nimuoe na niwe mchumba kweli profile yangu hio! Those frauds! Heheheeee!

Tukawa tunachat whatsup! Mambo ya kiimani! Nikamkaribisha Kinshasa! Akasema hana nauli! Nikamtumia tiketi ya business class go and return! Akadataaa! Nikamwambia au nikukodie chatter? Akasema hapana! Akakubali kuja Congo kwa baby Pastor!

Kyle namjua mtata! Nikamtuma Mkongo wa kwenye profile akampokee airport! Akamleta mpaka hotelini! Ananvo jifake ni Pastor sasa! Anamsumbua anatakaa kwenda kanisani kwake! Akamwambia pumzika hoteli 5 star kwanza kesho tutakwenda!

Jioni akatoka kula peke yake! Na mimi nikajifanya kushtuka kumuona! Chale zikaanza kumcheza kuniona mimi pale! Mimi sikuwa na shobo nae! Akanifata mezani kwangu! Unafanya nini huku? Nikamwambia mimi huku nina migodi nimekuja kukagua! Wewe unafanya nini? Akaniambia kuna mkutano nimekuja kuhubiri! Nikamwambia sawa!

Nikachomekea swala langu la unga! Akasanda tena! Nikamuuliza tatizo nini? Kataa basi toa hoja za msingi! Akasema umeniumiza sanaa moyo! Nikamwambia si tushapita huko kitambo! Kwani bado unanitaka Kyle? Akasema akhaaa! Kangaka kabisaa! Nikamqambia ulivoondoka na Hans siku ya fumanizi ulionesha msimamo wako kwamba mimi sio kitu kwako! Nilikuumiza ukaniumiza tumeumizana! Tufanye biashara basi!

Akasema siwezi hio biashara ya baby dady! Huna mtoto so huwezi kuelewa! Nikamwambia una uhakika gani sina mtoto? Nikamwambia sahivi nina watoto wa 2 kama itasaidia kwenye hio biashara! Yule Ulfat nimezaa nae mtoto wa kiume, na kuna mzungu nimezaa nae mtoto wa kike! Huyu mzungu aliniomba tu ni tajiri sanaa but very lonely! Na mimi nilikuwa nataka mtoto so nikamkubalia! Nikamuonesha picha za wanangu photo copy!

Alishtukaaaa! Kama kaona jini! Hakuamini! Anaanza mbona hukuniambia kabla! Nikamwambia sikuona umuhimu! Ungejiongeza ungejua Ulfat kwanini namruhusu aje kwangu kabisaa! Sababu ni mama mtoto wangu! Okay na mimi na watoto but i cant still underatand kwanini huqezi fanya biashara ya unga na mimi? Nilikuwa nishamvuruga kabisaa kabisaaa! Analalamika Ghost sio muaminifu huwezi kuwa na watoto wakubwa hujawahi kuniambia! Nikamuuliza wewe uliwahi niuliza Ghost una watoto nikakujibu Sina mpaka useme muongo? Mbona uliniuliza kama shoga? Hilo la watoto hukuliona muhimu!

Akasema embu naomba hio simu niwaone tenaaa! Na badoooo! Nyoooooo! Nikampa tena! Hapa ndo nilipofeli ndugu msomaji! Nimempa simu kaingia Instagram kanibamba live Fake pastor na profile yangu! Kaingia whatsup kanibamba live ndo namchatisha chatisha! Akaniwekea mezani! Nijue kama kajuaaa! Nikakosa la kusema! Tukakaa kimya kama nusu saa! Hamna anaezungumza!

Akaniuliza ghost bado unanitaka? Nikamwambia mimi nakupendaa sio utani! As much i try i cant stop loving you! Mengine ya kweli ndugu msomaji mengine nampanga humo humo! Akaniuliza why one minute you love me the next unanifanyia ukatili usiosimulika! Sikukosa jibu ila nilikuwa tu makini kwamba ningejibu vibaya ningeharibu kabisaaa!

Akaniuliza kwanini ulimleta Ulfat? Nikasema alikuja an anakujaga bila taarifa! Nilitakiwa kukutoa wewe ila sikukutoa! It took balls of steel kugombana na baby mama sababu yako! Wewe ulikosa ujasiri kidogo! You know mtu kama mimi nina imperfections nyingi mnoo! Hukutaka kunikubali na imperfections zangu! You wanted me to change for you which is selfish! Na hapando mimi na wewe tutakwama daima!

Akabadilika so it waa my fault? Mwabamke ulete wewe makosa yawe yangu? Nikasema hapana sio swala la rightiousness! Kama ni hivo siku zote Kyle utakuwa na haki kuliko mimi! I am drug dealer you are a pastor ipo wazi! Ni swala la upendo wa kweli! Kumpenda mtu na imperfection zake wewe huna hilo! Very selfish and self centered! Upendo husamehe, upendo hau hukumu, upendo huvumilia, upendo hustahimili! Wewe huwezi any of the above! Kama ulitaka nimuache Ulfat ungekuwa muelewa na ungeendelea kunipenda ningemuacha mwenyewe kwa mda wangu kutoka moyoni mwangu sio kwa pressure zako!

Akauliza na baada ya fumanizi? Nikamuuliza kabla Hans hajaja sikukuomba ubaki iwe mwanamke wangu? What didi you do? Baada ya hapo? Nilikesha nakungoja ofisini! Did you come back? Noooo! Haya ukanitafuta mara moja nikakujibu kunya uliendelea kunipenda au ndo ukasusa kabisaa? Even now bado kuna chance ya kunipenda njoo tufungue kanisaa! Nitege tege kidogo uone kama nitachomoka! Acha kunihukumu hio kazi ya Mungu!

Akwa emotional ooooh ghost! Sikuwaza hivooo! Wanawake viumbe dhaifu sanaa! Nikamuwekea miguu katikati ya mapaja! Na kumshika mikono! Nampanga wewe ndo hutaki tuwe pamoja! Like now you can choose to be mad or we can be together in bed! Making promises we live only once! Hapo namyekenya mikono! Akawa kalegea! Namwambia twende basi chumbani kwangu! Analta mimi pastor! Namwambia funguo zangu hizi tangulia nakuja!

Akachukua zile funguo! Nikasema safiii sanaaa! Nimeanza kulegeza truck nje ya chumba! Naingia namkuta yupo uchi wa mnyama! Kajilaza kimitego mitego! Ashaanza kunywa pombe wakati aliacha kabisaa! Na mimi nikajijazia glass na kumjazia yeye vizuri twende sawa!

Namkumbusha unakumbuka ulinitega tega siku ya kwanza! Anatabasamu! Nikazima taa kabisaa sitaki ushakunaku wako ndugu msomaji! Ana niambia nina nyege za mda mrefuuu sana! Nikamwambia nilisikia na Hans mlikuwa kama kaka na dada! Akasonya tu! Nikamwambia usijali siongei sanaa nadhani utaalamu wangu wa kupiga machine unaujua!

Akanikatisha acha mashairi tomba basi baba! Khaaaaa! Huyu mwanamke jamani ana domo chafu hatariii! Nikagwaya kwanza kwa command hio naingilia gia gani kifo cha mende,popo kanyea mbingu au gia gani! Nikaona kifo cha mende tu haina namna!

Msitu kaufuga utafikiri steal wire! Huooo umetunaaa! Unakata kata kama stili wire! Nikawammbia namna hii mazingira ya mechi yanakuwa magumu! Njoo nikunyoe! Akakataa naneda kunyoa mwenyewe! Si unajua sina bwana sahivi nanyoa ili iweje? Akarudi! Na hapo kapunyua punyua tu na mkasi hajanyoa cha kueleweka!

Nikawa nawaza hapa inabidi nimfanye kwa utaalamu wa hali ya juu sanaa! Mpaka akubali swala langu la unga! Akubali kuja kuniendeshea kanisa langu! Kumfanya vizuri mwanamke kunaanzia kwenye saikolojia, na saikolojia yake mda huu haikuwa mahali napo pataka mimi!

Nikaanza kumpanga, Kyle nataka nikuoe serious! Unaweza ona masihara but im very serious! Akajibu kama kufanya kumekushinda nikalale zangu maana sasa hapo unanijaza live! Nikawambia serious! Nifanye nini uone niko serious! Akasema mpigie Ulfat mwambie unataka kunioa! Nilistuka kindani ndani! Nikamwambia hilo tu? Unataka kwa face time au video call au audio call! Akasema face time! Nikamtwangia! Akapokea! Halooo! Anatuona tupo kitandani Kyle ndo annaibusu busu! Nikawambia mama watotonataka kuoa hapa una unaniambiaje? Nikakata simu! Tukacheka kama mazuri! Akauliza mbona umekata? Nikamwambia ulitaka aporomoshe mitusi! Ujumbe wako umemfikia! Kubali basi nikuoe?

Akasema bado sijakubali! Mpigie da Tina! Mwambie unataka kunioa! Akampigia! Tina hana neno ila anamkonyeza Kyle ila ujumbe akapata! Nikamuuliza nimpigie nani tena? Baba yako au Mozah? Akasema basi imetoshaaa! Ghost hutabiriki! Akawa asha relax! Yupo in good mood!

Nikaanza kumkisss! Anatoa ushirikiano wote! Mwanamke mtamuuu huyu japo jeuriiii balaa! Na kissnasikia bao la kwanza linagonga chupi! Maninaaa! Nikamwambia naomba kwanza nikaharishe! Nikampa simu pekua mpaka nafasi yak iridhike wife! Nikaingia bafuni chukua sabuni! Nikaenda nalo sawa kwanza hio bao la kwanza nikarudi gadooo! Namkuta anpekua kweli! Eti kumbe kweliu a watoto wa 2 nilijua unanipanga! Ashafukunyua videos! Nikamwambia nina watoto wa 3! Akastukaaa! Wa 3 ndo yupi mbona hukuniambia mwanzo? Nikamwambia wa 3 wewe unamjua! Akachanganyikiwa kabisaa! Yupi? Nikamwambia si Linda! Akashusha pumziii! Akagunaaa! Mtoto wa Hans yule! Roho ya baba ake!

Nikaganda kwanza! Nikamwambia ujue Kyle unaniudhi huna bahati! Hivi unafikiri unaweza kumpata mwanaume gani akupende wewe na mtoto wako! Hapo ulipo ulitakiwa uwe ushakojoa kwa kukwambia tu Linda mwanangu! Ulfat ana mtoto mwengine kwa kumpenda yule mtoto tu akaamua kunizalia na mimi wa kwangu! Akasonyaaaa! Usisahau kukojoa nje Ghost hapa hamna ofa ya kuzaliwa mtoto wala nini!

Nikamwambia watoto wanatosha wa 3 na Linda, tuzae tena tunatafuta nini? Ila nje sikojoi kama ni hivo bora nistie nijue moja! Akaniuliza kwa hio una susa niende zangu mimi unanipaka shombo tu hapa! Nisuse nina jeuri ndugu msomaji? Nikaanza kumla mate tu kiubishi ubishi tu!

Nimembiringishaaa na yeye alinipaniaaa! Daaaah! Mpaka tukakutana kwenye anga la 7 roho zetu tu zazungumza! Nimekojoa mara zoteee! Na kati kati nilimuuliza Linda mtoto wa nani? Mpaka akasema wako! Shwainiiii! Mtoto nimelea kabisaa hio roho ya baba ake vipi!

Sikupanga kuchukua ushindi kwenye game! Hapa baada ya game! Kwenye kubembelezana! Namkomalia kwa hio utakuja! Akakubali itabidi nije! Ndo namna ya kuzungumza na wanawake hiii! Namwambia ila makanisa yangu nafungua kijijini! I want to sell drugs yes ila i also want to help people for real! Napewa mate na pongeziiii!

Nampa plan so itakuwa kuhubiri na kutoa misaada! Ni ndani ndani sanaa where people really need help! Hawana hospitali wala madawa wala maji! Wanahitaji kumsikia na kumuona Mungu! Ill go personaly na wewe tutakiwa wote na other pastors! Akakubali sawa!

Tulikaa hoteli weekenizma kazi ni moja! Akanituma vidonge vya kumeza kuzuia mimba baada ya ku do! Nikamletea dawa za maumivu nikamwambia ziandikwe dawa za kuzuia mimba pharmacy! Ana meza tu!

Tumerudi dar tushakubaliana kila kitu! Kufika tu akawa hapatikani! Kani block! Hatua kumi mbele 20 nyuma! Nikaenda kanisani nikakuta hapandi madhabauni! Sikumuuliza nikamchokoboa Mozah! Akaniambia mmebanjuka Congo huko kutufanya watoto sasa Mlokole kajua! Kaambiwa afanye toba ya siku 30 ndo atapanda madhabauni tena! Nikajua kanisani siwezi kumfata tena!

Nikaenda kwake! Mwanae kakua sanaa! Nikamkuta kapo darasa la 2! Ananiuliza are you my moms boyfriend? Nikamwambia Friend! Ananiambia can you be her boyfriend? Mom is so lonely! Dad has a girlfriend! He always takes her out! Can you take my mom out? Nikaambia i can but ask her tosay Yes first! Dada alimpigia simu niko pale! Akaja fastaa! Akakuta nipo na ka Linda! Akapoa kidogo! Linda anamwambia mom you said no one wants to take you out? I found you a date! Can you go out with Uncle! Akamtimua chumbani!

Akaniambia sitakiiii uje kwangu! Nikamwambia mtoto alikuwa hana pa kuishi huyu nikampokea leo unanifukuza kwako? Kwa mara ya pili ya kwanza ulivokuwa na mimba mnaishi na Hans! Roho ikamrudi! Akaniambia bwana sitakiii! Kazi yako nimetafakari siitaki! Kwanza naanza export business na mtu sitoweza! I am sorry! Ila nitakuombea ufanikiwe!

Nikamwambia basi tuendelee kudate! Sitakusumbua kuhusu biashara yangu tena! Akasema hapa nipo kwenye toba! Mlokole anajua nifanya tu! Nikamwamvia tuna date hatufanyi! We just date! Akawa na mashaka! Ghost hutabiriki! Haya we date! Nikamwambia ni unblock basi baby! Akani unblock! Nikamuita Linda nikamwambia ill take your mom to many many dates! Akafurahiii!

Nikaanza safari ya kwanza kwenda huko Morogoro ndani ndani na pastor kijana tu! Hamna hoteli! Mnalala kwa mwenyekiti! Shule ipo mbali sanaa! Nikaanza kujenga kanisa la kwanza chini ya pentekoste! Nikajenga na shule ya binafsi ya bure lakini! Na kuchimba kisima cha maji na mashine ya kusaga! Mchungaji anauza maji na kukusanya pesa mashine ya kusaga ya solar afu anaendesha kabisaa! Walimu nawalipa mimi toka mfukoni! Hamna hata mtandao! Nilikaa mwezi mzima!

Narudi mjini niko hoiii! Nikamwambia Kyle niko mjini njoo basi we just talk about my church unipe mawazo! Akakubali ila niende kwake! Sifanyi makosa nikabeba maua! Linda alifurahi anasema mom has a date! He brought her flowers!

Nimeongea mpaka saa 7 sikuwa na mpango wa kuondoka! Ananiambia itabidi ulale chumba cha wageni! Nikamwamvia siwezi kulala chumba cha wageni, mwezi mzima Kyle! Walau tulale wote ninaweee tu basi! Ananiambia mwanangu mkubwa! Na mimi namwambia ndio ndo maana ansema dad liver with her girlfriend unadhani wanaishi vyumba tofauti?

Akakubali tulale wote! Ila hamna kupeana! Kulilalika sasa? Mchezo alitoa vizuri sanaaa! Anasikitika mimi kupanda madhabauni basi tena! Basi tenaaa! Mi namnyonya mate tu! Msie nipenda ndo nisharudi!

ITAENDELEA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom