Weekend Njema

Mh..! mie huwa namwonea Kocha huruma timu ikifungwa, ila kama kutakuwa na sesseion ya jimbuzi away from big screen the count me in.
Weee si nasikia ni mshabiki wa Lipuli, CDA ya Dodoma na Majimaji ya Songea
 
Tii kiu yako.
 
Al shabab wake kwa kina Smatta Bebii.

Si unajua Nchi yetu ni kisima Cha amani.

Lemon tree iko wapi babii, nina hamu na Savanna sana halafu mshahara ni mpaka Tar. 4 November.
doh pole sana mshahara tar 4 kwani unaishi kwa mshahara vivi? wewe njoo nitakutumia hela ya teksi jioni mbuzi huyu yuko vizuri ana nyama za kutosha nyerer road kule ndo unaipata iyo limao mti
 
leo nitakujoin kwenye mkesha
 
doh pole sana mshahara tar 4 kwani unaishi kwa mshahara vivi? wewe njoo nitakutumia hela ya teksi jioni mbuzi huyu yuko vizuri ana nyama za kutosha nyerer road kule ndo unaipata iyo limao mti

Asante Babii.
naomba unipigie basi. Tumia ile No. ya Voda inaishia no 693. kama ni M-pesa. sawa?

Mimi mwenzio bado nategemea msahara.

Tutaongea zaidi leo jioni bebii
 
Yaani Weekend hii itakuwa nzuri kwangu kama Simba yatamkuta yale ya Man6 hata kama sio kwa idadi ile.
 
Yaani Weekend hii itakuwa nzuri kwangu kama Simba yatamkuta yale ya Man6 hata kama sio kwa idadi ile.
utasubiri sana likwanda? uje na malori ya kubebea magoli
 
Yaani Weekend hii itakuwa nzuri kwangu kama Simba yatamkuta yale ya Man6 hata kama sio kwa idadi ile.

kwa nijuavyo soka la TZ. watawatimua wachezaji wote.
 
mmmmmmmmmmmmmmmh ngoja niandae nyimbo za kusifu eeeh yahwe eeh yahwe .......................... eeeh yahwe eeh yahwe..................................
Hahaha...aisee hiyo nyimbo umeishaichakachua tayari..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…