Hapo kwenye red inakuwaga ngumu.Naomba nichukue nafasi hii kuwatakia madadiito na mamiito wote weekend Njema.
Msinywe kupitiliza coz ni weekend ya mwisho wa mwezi.
Kuna mahafali Vyuo mbali mbali, kwahiyo kuna masherehe Mengi, so Guys take Care.
Kunyweni lakini msilewe.
Wazee wa infi, Weekend hii mtulie nyumbani kidogo angalau mcheze na watoto.
Wale washabiki wa Manu mara hii Hatuwezi fungwa tena magoli sita. kwahiyo tunaweza kufurahia mpira kwenye Big screen pale mlimani city.
Wanazi wa simba na yanga nasikia ndo hivyo tena kesho.
What a weekend!!!
ni weekend ya kipekee.
Yes hii ni wiki end ya ukweli kwanza ni mwasho wa mwezi,mvua inanyesha,man u tutatoa machungu ya juzi kati,simba na yanga ndio hivyo tena,ya ni wiki end yenye raha za kutosha.
Analizo;Abiria chunga mzigo wako hali ya hewa hii wezi wengi!
Asante,vivin nawe enjoy ur wikend!
ahaaaaaaaaaa nitamchinjia maeneo ya lemon tree quality plaza maana al shabab wamenifanya nikae kimachale machale ili niende uwanja wa taifa kama mambo shwariMlete huyu Mbuzi tumchinjie Mlimany City. Mwendo wa Savannah na Dempo tu.
kuna mbuzi njoo ule nyama cantalisiaYes hii ni wiki end ya ukweli kwanza ni mwasho wa mwezi,mvua inanyesha,man u tutatoa machungu ya juzi kati,simba na yanga ndio hivyo tena,ya ni wiki end yenye raha za kutosha.
Analizo;Abiria chunga mzigo wako hali ya hewa hii wezi wengi!
Asante,vivin nawe enjoy ur wikend!
Thank God Its Fridaynzuri dada yangu. naomba kujua maana ya TGIF.
nzuri dada yangu. naomba kujua maana ya TGIF.
Thank God Its Friday
ntafute mie, Lol, vivi atakuwa kwa big screen pale mlimani City, kasema hapo juu
ahaaaaaaaaaa nitamchinjia maeneo ya lemon tree quality plaza maana al shabab wamenifanya nikae kimachale machale ili niende uwanja wa taifa kama mambo shwari
I always treat them vice versa....lol!!!I hope you know umeingia mkenge.... Umesoma Sig ya Mrembo?? lol