- Thread starter
- #21
Chetuntu am in love with you...Have a nice weekend too.
Ukipat nauli mwambie konda akushushe boko basihaya, kuna baa inaitwa Etiennes, jamaa wanachoma mbuzi na kuku kwa roho mbaya!!
Ntakulisha.
Babu hadi nipate nauli? Si unitumie ! Halafu me ntakuwa Liner park boko. Thanx babu kwa mwaliko