Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Una namba za simu za huo alievaa viatu vya chui chui.......!! Nataka ale mafao yangu ya ustaafu.
Sawa Bwaksi,bakisha za watoto.
Una namba za simu za huo alievaa viatu vya chui chui.......!! Nataka ale mafao yangu ya ustaafu.
Bwaksi utaua wajukuu mkuu. Maana kama mafao hayo hayo yaende kwenye ulabu (rejea jina lako "Bwaksi") then huyu mama wa chui chui naye ale kitabaki kitu kweli hapo? Mafao yenyewe haya ya mkulo mpaka awalipe kwanza dowans.
...ndiyosiku hizi mmeamuakutuletea miguu tu!
Una namba za simu za huo alievaa viatu vya chui chui.......!! Nataka ale mafao yangu ya ustaafu.
Siku hizi mmeamuakutuletea miguu tu!