Hahahahaaa mbona unanitia majaribuni madam, ngoja nikimbie kama yusuph alivyokimbia kutoka kwali mshangaz mama potifaShow me where it's written in the bible today is a sabbath day
We njoo tutupie vitu vikali
Mambo zangu
Be blessed mkuu. kwa kujazia minyama, haya madam Mallerina hii yapa!"Remember the Sabbath day, to keep it holy.
Six days you shall labor and do all your work, but the seventh day is the Sabbath of the Lord your God.
In it you shall do no work:
you, nor your son, nor your daughter, nor your male servant, nor your female servant, nor your cattle, nor your stranger who is within your gates.
For in six days the Lord made the heavens and the earth, the sea, and all that is in them, and rested the seventh day.
Therefore the Lord blessed the Sabbath day and hallowed it."
unavipiga Chini ya maji kama hatukuoniHahahahaaa mbona unanitia majaribuni madam, ngoja nikimbie kama yusuph alivyokimbia kutoka kwali mshangaz mama potifa
Zamani siku hazikuwa na majina, walikuwa wanaita ya 1,2 and so on madam...Wapi wameandika ni Friday evening hapo
Hahahahaaaa wewe wasema....unavipiga Chini ya maji kama hatukuoni
Ila utapinga
Eti kuna sensa inasema katika watu 10 unaokutana nao 8 hawakupangwa kuja duniani ni ajali tu, unwanted pregnancies!
Me naongezea katika Kila ndoa 5, 3 hazikupangwa ni mambo ya kustiriana tu.. research ya uchochoroni 🙌
Zamani ulikuwepoZamani siku hazikuwa na majina, walikuwa wanaita ya 1,2 and so on madam...
Mbona ka upaja wa __ran , nimekuelewa sasa rough rider haina dili.. ata kama mimi sivai soksi apo kiongozi .. mukuchu mukuchu mukuchuuu 🔊View attachment 3673426
Eti kuna watu wataionea wivu glass😋😂
Sijui kwanini kila ninachokiona humu nakitamani🤦🏽♀️
Naaaam madam, nilikuwepo kwenye mipango ya MUNGUZamani ulikuwepo
I know what u did here🤔Mbona ka upaja wa __ran , nimekuelewa sasa rough rider haina dili.. ata kama mimi sivai soksi apo kiongozi .. mukuchu mukuchu mukuchuuu 🔊
Vimapaja vya nini hivi mkuuShare location
Futa huu ujinga.Alishawahi kutaja mwaka alioanzq kunywa pombe usikute ulikuwa hujazaliwa ..mimi binafsi niliwahi kuiuluzq AI kuhusu unywaji wa pombe na uvutaji sigara..matatizo wanayodai watu kuwa huletwa na pombe au sigara ni exaggeration tu!