Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,133
- 3,401
Usisahau kushushia na dengeNakula makande nliyoyapika kwa utuvu siku ya leo na kikombe changu cha chai ya kijani pembeni,..naam,naburudika hapa nyumbani huku ndege wakikuna masikio yangu kwa nong'onezo zao..