Marafiki zako wa Ulevini Ulelewa Ulevini na hao mara nyingi ndio marafiki wa kweli ambao wanaweza kesha na wewe Central kama Nje ya Central kuna bar
Marafiki hawa wa ulevi wanaweza kesha Mochwari kwa sababu pale nje ya Hospital kuna Bar
Marafiki hawa huweza kesha kwenye msiba wako kwa sababu pale pembeni kuna Bar
Hakuna rafiki mwenye kuheshimu thamani ya Urafiki wenu kama mtu mnayekunywa naye pombe
Kama ukimpoteza rafiki mnayekunywa naye Pombe kurudi urafiki wenu ni ngumu sana Maana mara nyingi yeye siyo mnafiki
Rafiki huyu mara nyingi huwa mkweli mwepesi kujua kosa na kuomba samahani hana majivuno na Ukimtaka muda wowote atakuja
Usimdharau rafiki wa Pombe kwa sababu zozote ambazo hazina msingi na wala usikate urafiki na rafiki yako Mnywaji utakuwa umekosea for the Maximum
Rafiki huyu ni mkweli muwazi ila akificha jambo akiwa mzima atakwambia akiwa amelewa

huyu ndio rafiki wa kweli kwako
USHAURI
Mtu asikudanganye kuachana na rafiki zako wanywaji maana anakuchonganisha na watu muhimu sana kwako
#Mdomo wenye furaha ni ule wenye pombe