weekend hii nakuja Dar.

Aka nimemwambia amtafute
mama ya jiji Madame B au hata wewe wezampokea,
baada ya hapo chatting inaendelea, yani tuspend hawaz kutaja viwanja 2?
Inahuuuu!

.......haihuuuuuuuu...!!!!!! babu weeeeeeee......
kama vp Ciello, mwambie huyo Nicas Mtei afungue sredi yake tusalimiane!!!!!!!!
Atuwacheeeeeeee........!!!!!!!! tujimwage kwa Chibolo wetu.
 
Last edited by a moderator:
Lahaula lakuata Madame B khaaa!

Twamjua huyo mzee wa mia.
Ukielekea Qibra tu.....!!!!!!
hatutakuona CC teeeenaaaaa.....!!!!!!
Ana Paka wake huyooooo.......
Akilia nyauuuuu.........
 
Last edited by a moderator:
Mh...husband punguza wivu TANMO ni pacha wangu hivyo wewe ni shemeji ako! Mkewe ni FP ... Upunguzege wivu basi manake bado sijakutambulisha ukoo wetu wote.

Nimekumiss wewe zaidi!

Tulia umliwaze mzee! Acha maneno mingi. Khaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…