Za masiku zilikuwa mbaya pacha bt vile nimeuona mwandiko wako hapa zimegeuka na kuwa nzuri sana!
Uwe unaniaga pacha wako jamani manake utaniuwa kwa mawazo na njaa mwenzio! Yaani ilibaki kidogo nianze kugoma kula kwa kukukosa!
Daah pole sana husband! Ila mbona nilikuaga jamani? Au siku ile nakuaga kwa makiss na mahug ya ukweli ulikuwa ushapata moja moto eeh?Mwenzio nilikuwa nakuwaza mpaka naweweseka.
Pole sana Pacha,
Japo kimwili tulikuwa hatuonani ila kiroho tulikuwa pamoja sana.
Yaani nilikumiss hadi nikakonda Pacha.
Btw: Nitonye hajambo?
Pole na wewe pacha wangu...tuongeze kula sasa ili kurudishia afya tuliyoipoteza kwa kumisiana lol...Pole sana Pacha,
Japo kimwili tulikuwa hatuonani ila kiroho tulikuwa pamoja sana.
Yaani nilikumiss hadi nikakonda Pacha.
Btw: Nitonye hajambo?
Daah pole sana husband! Ila mbona nilikuaga jamani? Au siku ile nakuaga kwa makiss na mahug ya ukweli ulikuwa ushapata moja moto eeh?
Usijali kipenzi, sahivi ntakuwa pembeni yako masaa ishirini na nne, siku saba zote, yan mpaka unichoke lol.
Mwaaaaaa!Joto lako huwa nahisi niko peponi
Kweli apewe sifa aliyekutoa tumboni
Njoo karibu yangu unipe mahaba
Nakupenda sana sweetylady
Yaani honey kwa jinsi nnavyokupenda nahisi siku ukipata ugonjwa wa moyo ntaanza kufa kabla yako!Nipo shemeji yako, aisee huyu pacha wako kuna siku ataniletea ugonjwa wa moyo maana mapingo ya moyo huwa yananidunda sana nisipomuona
Nipo shemeji yako, aisee huyu pacha wako kuna siku ataniletea ugonjwa wa moyo maana mapingo ya moyo huwa yananidunda sana nisipomuona
sweetlady, TANMO, Ciello, nitonye, figganigga, na charminglady mna tabia mbaya sana. Ndo nini kuchakachua sridi ya Chibolo? Mtajieni viwanja vya huko daslam.
Mwanamboka pale Buguruni (Im kidding). Tafuta mutu ya watu, papaaa ya muji, mutu yenye heshima hapo Asprin aka BABU aka ODM aka MKAGUZI aka ASALI YA JF tehe teh.
sweetlady, TANMO, Ciello, nitonye, figganigga, na charminglady mna tabia mbaya sana. Ndo nini kuchakachua sridi ya Chibolo? Mtajieni viwanja vya huko daslam.
Nimemkaribisha Hyena Ground,,, hapa nasubiri kama atakubali nimtumie Guta la kwenda kumchukua..
Mwaaaaaa!
Nakupenda pia darling! Naja kipenzi wala usiwe na khofu.
Aka nimemwambia amtafute mama ya jiji Madame B au hata wewe wezampokea, baada ya hapo chatting inaendelea, yani tuspend hawaz kutaja viwanja 2? Inahuuuu!
anapaogopa uwanjani. Au hayupo siriaz.
Nilizoea viwanja vya jolly,ambiance, sunsiro,bilicanas na maeda clubs mlioko dar naomba mnijuze viwanja vikali kwa sasa!