Week end Special | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Week end Special

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shantel, Sep 3, 2011.

 1. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Just because you know someone doesnt mean you love them,
  And just because you don't know people doesn't mean you cant love them,
  You can still fall in love with a complete stranger in a heartbeat,
  kama Mungu amepanga itokee kwako

  So marafiki fungua moyo wako huwezi jua Mungu amepanga nini kwako
  cause he may throw that pass to you, lakini pia kuwa Mwangalifu ....

  jiulize rafiki, je moyo wako hujawahi kwenda mbio kwa mtu usiyemfahamu
  Unaweza tu msikia sauti, unaweza mwona kwa picha, unaweza ona tu michango
  yake hata humuhumu jf.....mhhhh yote haya ni juu ya nini??? ni juu ya mapenzi

  Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
  una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
  yeyote

  sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
  week end njema
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  A major factor in people's licentious behavior especially to those in committed relationships.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Shantel........nitarudi baadae.......
   
 4. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  So you think those words are there because people are so immoral nowadays
  Kuwa na hizo ni feelings tu, sio kwamba mtu anafata anavojisikia, anajisikiza na kujiuliza
  kwa nini ajisikie hivo, wewe haijawahi kukutokea kwa namna yoyote?na kama
  ilikutokea ulichukua hatua gani?
   
 5. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  hahahahaha....We changia bana sasa hivi kwani haina uhalisia?????? si umeona ile thread?
  ulipoiona hujajiuliza maswali????
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kwa kumalizia kumbuka kuvutiwa , kupenda , kutamani huwa hakuangalii kama
  una mchumba, mke, mme au rafiki tu wa kawaida, huwa inatokea tu kwa mtu
  yeyote

  sasa nawauliza marafiki, ikikutokea huwa unachukuliaje????
  week end njema


  mhhh sometime nature takes its place
  U just admire and leave or u just admire and take a further step but with conscious
  Or u just admire, take a step further and believe that nothing will happen
  Or u just admire, take a step and suffer the consequences

  to me natamani, na then namshukuru Mungu kwa uumbaji wake na kuendelea na mambo yangu
  Sijui nimeenda chaka
   
 7. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wala hujaenda chaka, kwa hiyo kutamani ni nature ya sie binadamu?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Sep 3, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  All actions are preceded by thoughts and if you abandon yourself to such thoughts then it is more than likely that one day you will act on them.

  The challenging part is to overcome them consistently and thoroughly. This is where most people fail, IMHO.
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Ni nature na sidhani kama kuna kiumbe asiyetamani
  Kuna kutamani ambako ni kubaya yaani mtu anajiapiza ni lazima nikipate kile ambacho ametamani
  Kuna mwingine anaadmire na kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake na kuacha mambo yaendelee kama yalivyo
  Ila sasa wabaya ni wale wanaosema ni lazima nikipate hajali matokeo ya kutamani kwake wala hajali kama kiko possessed au hakikamatiki
   
 10. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndio Shantel ni kweli unaweza kumpa nafasi total stranger na ukashangaa muujiza utakaotokea
  unaweza ukawa na uhusiano na mwanaume ambaye unamjua nafikiri tangu mdogo sana na mkakua wote, then mkawa na uhusiano
  , mkafail kabisa kwa sababu zisizoeleweka, then akatokea total stranger, ukampa nafasi aaaaaaaaah the rest inakuwa history
  mimi ni mfano tosha sana,yaani raha kamili kila mahali
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Sep 3, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Is he "tough in wallet"?
   
 12. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yah hii ina aply kwa watu wenye uhusiano, lakini kwa single ambae anatafuta uhusiano si vibaya kudate na ikitokea humjui mtu
  pia si vibaya kujaribu sababu huwezi jua what is in store......hapo ndio singles wanajimwaga tu...mwanzo wa uhusiano ni kutamani
  kama sikosei
   
 13. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  And he has a simple look too
   
 14. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Thanks NN and how can someone overcome those thoughts, kwa faida ya wote pleeeeease
   
 15. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sasa kwenye simu na net unawezaje kutamani kwanza ili uendelee na process ingine au kuna kitu more than kutamani?
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Shantel... Shantel... Shantel... Dah! ngoja nijipange dear....
   
 17. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  please!!!!! rudi dear
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Dah! Shantel huu ujumbe leo mbona mzito sana?!! Mmmh.....embu ngoja niutafakari kwanza!
   
 19. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kipipi na wewe pia.... kwani ujumbe umelenga ikulu au?
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Sep 3, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  First and foremost, you can conquer those thoughts through sheer willpower. In my opinion, this is an inborn trait, not an acquired one. Therefore, you either have it or you don't.

  By working with what is already there (willpower), you can now engage the power of reason by being considerate to your other half. You put yourself in his or her shoes and think of how you would feel if the tables were turned. If you end up not liking it if it were you on the other end of the stick then you apply the golden rule. So trying to live by the Golden Rule is another way to overcome temptation(s).

  Another thing is to set very high moral standards for yourself. I am not a religious person but I do agree with most of the so-called god's ten commandments. I think most of them are very good moral instructions that if you try your best to adhere to them then I have no doubt that you will live a life of unimpeachable integrity.

  Last but not least, be true to yourself. Don't try to be whom you are not. Just be you and 'do' you!
   
Loading...