Week end njema wana jf

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Baada ya u-bize wa wiki nzima wikiendi tunapumzika kivipi? jf nipeni mpango mzima nijumuike sitaki vikao vya harusi, send-off au sherehe ya aina yeyote. najua hapa sikosi mpango
Baba_Enock, CPU, Fidel80, Kakakiiza, Chroroquine, husninyo, Dena Amsi, PakaJimmy, Maty, Katavi, DaMie, SMU, michelle, lizzy, MadamT, jamii01 , mzee wa rula, mbu, afrodenzi, shantel, sweetdada, Tuko, Mr cool, Ivuga na wote wana jf
 
[B]Mimi mwenyewe ninatafuta binti wa kubarizi nae katika hiyo long week-end ya Pasaka.Kwa yeyote atakaye kuwa tayari anijulishe ili nifanye miundombinu wapi pa kwenda kumpumzika.[/B]
 
I guess I'm gonna be bored @ home, anyone bored who wanna hang out or chi chat can hola back....Surely let us hook up if possible
 
Elia mi naumwa...njoo kwangu uniuguze wkend!
 
Weekend njema nawe pia :love:
ukipata mpango utujuze na sie tukujoin:love:
 

Karibu tupate mnyama mitaa ya RAINBOW
 
Sasa Elia nyama choma na Ballantines tunapata wapi???
 
Baba Enock huenda nakuonaga wewe...lol

Week end njema na wewe pia Ellia...🙂

Inawezekana sweetdada, uwa nakaa kaunta ya mbele karibu na car park! ndiyo naelekea huko na nitakuwepo mpaka saa sita usiku!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…