Week end njema kwa wadau wote wa MMU

Week end njema kwa wadau wote wa MMU

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,252
Reaction score
11,653
Nimetumiwa ujumbe huu ambao nahisi una msg nzuri sana kwa wale wadau wa kutikisa kiberiti,

Enjoy your week end,

Babu DC!!


DAWA YA MOTO NI MOTO,

Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka, Mume anashangaa anamuuliza, Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo anajibu, Nakwenda kwa mama yangu, Mume naye akaanza kukusanya nguo zake na kuweka kwenye mabegi yake, mke kwa jeuri akamuuliza mume wake, Unapaki unakwenda wapi? Mume akajibu kwa tabasamu, na mimi nakwenda kwa mama yangu, Mke akauliza tena "Hawa watoto wako watabaki na nani? Mume kwa kujiamini akajibu Nao wataende kwa mama yao kama sisi tunavyokwenda kwa mama zetu...
 
Hahahahahah lol! Hakuna kama Mama duniani!!!!



Weekend njema to you too Mkuu Babu Dark City
 
Last edited by a moderator:
Weekend njema BAK na Dark City. BAK naomba murudani bandugu. Compatible with mobile phones please.
 
Mume wa niece wangu, alipack bag lake na kuanza safari ya kwenda kwa mama yake baada ya mkewe kubamba sms ya mapenzi kwenye simu ya mumewe. Alivyofika njiani Singida akapata ajili ya kumpigia baba yake ambaye alimtukana na kumwambia ashuke kwenye basi na kurudi kwa mkewe.
 
Hahahahahah lol! Hakuna kama Mama duniani!!!!


Weekend njema to you too Mkuu Babu Dark City

Ahsante sana BAK,

Umetukumbusha mbali sana mkuu. Salamu nyingi toka kwa Bibi!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mume wa niece wangu, alipack bag lake na kuanza safari ya kwenda kwa mama yake baada ya mkewe kubamba sms ya mapenzi kwenye simu ya mumewe. Alivyofika njiani Singida akapata ajili ya kumpigia baba yake ambaye alimtukana na kumwambia ashuke kwenye basi na kurudi kwa mkewe.

Ila haya mambo ya kutishiana nyau si mazuri from either side, kwani kila mtu ana kwao except kids ambao kwao ndiyo hapo hapo wanapokuwa wanapakimbia.
 
Weekend njema Mkuu na pia kwa wale wapenzi wa Asenali.

Sitaki tena kusikia kilio chao kwenye kwenye lile jukwaa. lol

 
Last edited by a moderator:
Ila haya mambo ya kutishiana nyau si mazuri from either side, kwani kila mtu ana kwao except kids ambao kwao ndiyo hapo hapo wanapokuwa wanapakimbia.

Yaani nilishangaa sana; at least kwa mdada, baba mwenye nyumba?
 
Hapo ni pasu kwa pasu.
Lazima mke arudishe moyo nyuma.


Hivi mkuu wewe unadhani kwamba kuna haja ya kufikia hapo?

Na ukizingatia kwamba nyumba nyingine tumejenga wote...

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom