Wakuu habari,poleni na majukumu ya wiki...
Wababe wa mji,wazawa,makontawa,born here here! Naomba kuelekezwa ama kupewa location ya Beach nzuri,safi na yenye gharama za mwananchi mnyonge kiasi🙈,ila Coco Beach hapana...
Karibuni kwa maelekezo...
Ahsante