Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,879
konyagi Ni moto wa kuotea mbaliK vant na konyagi ipi kali?
Red + Jack Daniel??
nguvu za kiumeRed + Jack Daniel??
nguvu za kiume
ndiyo nini?Kwantwa...
mkuu usipendelee pombe kali na energy drink unaweza kusepa ... find other way around ushauri tu ,.. doctor pia alinishauri usiniulize ilikuwaje we chukua ushauri
ndiyo nini?
salamaZa asubui?
anatafuta moyo kupasuka huyo shauri yakeNilishangaa sana kuona anatumia vyote kwa pamoja. Alikua anatengeneza bomu.