Week End Imeanza Jamani

mkuu usipendelee pombe kali na energy drink unaweza kusepa ... find other way around ushauri tu ,.. doctor pia alinishauri usiniulize ilikuwaje we chukua ushauri
Hawa ndio wanafiaga guest house na vibint vidego alafu vinaanza kusumbuliwa na maaskari kama yule jamaa wa bukoba aliefia kwenye kibaby woka!
 
kabisa mkuu wanachanganya changanya tu bila kujua madhara
Maana io pombe tu anayokunywa ikiingia mwilini jasho linakutoka na mwili unachemka plus mapigo ya moyo yanaongezeka!!Haya unajiudunga na redbull juu!!!Kuna Watu tatizo wanajionaga wajanja sana mjini kumbe washamba sana.huyo jamaa jamhuri ikimjua atafunguliwa kosa la kutaka kujiua
 
tatizo kutokujua mkuu ila sasa nadhani ameshajua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom