!acha vitisho
Bishanga hayo ni maneno ya mkosaji
soma misitari hii hapa kwanza
By Mr Rocky https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/453687-wee-sosoliso-post6394594.html#post6394594
Nakupenda sana Mamndenyi na mfano wa upendo wangu kwako hakuna
Nakupenda sana sana tena sana
Copy Bishanga
:suspicious::suspicious::suspicious::suspicious::suspicious:
sweetlady aliamua kujilipua kwa Nicas Mtei
:suspicious::suspicious::suspicious::suspicious::suspicious:
Ngoja nivae miwani
Bishanga ushakunaku n umbeya umekuzidi
Nampenda Mamndenyi hata useme yapi hayaondoi ukweli kuwa nampenda
We mwambie The secretary akukande na kukuondolea uchovu maana naona hafanyi kazi yake vyema ndo maana kila muda uko mtaani kutafuta kipya