Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Kadai ati wewe ni hasara.. ndo maana kazalisha dume lingine.. aje kuchukua nafasi yako.. yaani ninakuambia baba yako Bishanga ana visa kwisha kazi..
Akuuu.. Unanisingizia mie.. Baba yako Bishanga anadaiwa kila mahali.. Finca wanamdai.. Pride wanamdai na haijulikani yuko wapi sasa..
@bishang my daddy ana pesa isiyo na kazi kama $2.5mill hayo madeni yanatokea wapi?
Waulize baba zako wadogo KakaKiiza na Ruttashobolwa.. Wanamkimbia baba yako siku hizi..
Waulize baba zako wadogo KakaKiiza na Ruttashobolwa.. Wanamkimbia baba yako siku hizi..