Halafu nikiiona nimtoe mtu roho???Owakibanja toikunyendela ge o'kwonakubona mrumuna!!
Mimi nawaangalia halafu wewe naona unanitafuta kidonda kibichi unakisugua kwa gunzi fikiria uchungu wake halafu unipe jibu!au unatafuta kesi na mimi naona unashadadadiiiiiaaaaa!!nikiachika ili iweje au uko tayari mwenzangu kucover pengo litakalotokana na nakuachwa???
Sasa kam ayupo feri anaongea pekeyake suluisho nikumpeleka kwa Madame B akamuimbie ngoma za kitanga!
Wambie my nyonda!baelezee baelewe!wee ishia hapo hapo mie nimeshazoea wazee matatizo siyataki
Tanga line hiyo!ogopa!
mwambie weye mwaya..kule wenda leo kurudi.........majaliwa!!!!!
Sasa huko ndio napataka mimi...
Ati wanadai wewe manoah ulionekana feri nywele hazijachanwa na una gunia la chupa za plastiki.. Unaokota na kwenda kuziuza.. Lol..
Tatizo jina la baba yako Bishanga.. Ana skandali kibao mtaani hapa.. Unategemea nini..