moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
MajivuWenye vibamia tuwapelekee nini....?
MajivuWenye vibamia tuwapelekee nini....?
Natuma nauli mara ya tatu hutokei
Siku unakuja na meza panadol na energy drink huku nikitoa kilemba changu kilichofunika mkongo uingie vizuri
Nikitoka hapa nikumpelekea motooooo
Umeshaambiwa tayari "Wee Mpelekee Moto tu" 🔥Wenye madada mnasema hivyo je sisi tusiokua na dada tusemeje?
You are right...ndo slogan ya watu kama USA yaani mapenzi sio big deal zipo nyingi utapiga utachoka ishu ni kuwa financial independent asee ukiwa na financial freedom utakuwa na furaha na maisha na utapata vyote yaani vyote.Vijana wanapaswa kujua kuwa ngono ni sehemu ndogo sana katika maisha ya mwanadamu na kuna maisha mengine na mambo mengine ya msingi nje ya ngono.....
Vijana waliowahi kulijua hili sasa hivi wako mbali sana kimaisha kwenye nyanja mbali mbali......
Mbinu, maarifa na nguvu zinazotumika kwenye ngono na kumfurahisha mwanamke wangezielekeza sehemu nyingine zenye tija kwenye maisha yao hakika wangepiga hatua kubwa sana.......
Vijana ni kama wamepatwa na pepo la ngono vichwani mwao.....kila jambo linatazamwa kingono ngono tu.....kuanzia miziki, filamu na mpaka story za vijiweni vyote vimebeba maudhui ya ngono tu.........
Ni mtazamo tu.....