Wee mchungaji acha kutukera wenzio

Yaani kama mie ndio ananionaga "shetwani" kweli maana nikianza kunywa akianzisha maneno yake, na mjibu kwa ufupi kuwa "imani yangu ya kanisa katoliki inaruhusu kunywa dada"

ahhahaha nakukumbuakag kwenye uzi mmoja uliambiwa sijui unywe dawa za minyooo ulidai maziwa yanawasha hahaha ukauliza ukinywa hizo dawa je utaweza kupombeka?? jaman nilichekaaaaaaaaaaa
 
Sasa inakuwaje mnashindwa kumuweka kwenye mstari? hamna uongozi wa kikundi? mambo kama hayo ndo kiongozi anachukua nafasi yake kuwaweka members wote kwenye mstari mmoja.. na ndiyo maana miongozo na taratibu zimewekwa.. vikundi vinatakiwa kuwa vyombo vya kutatua kero mbalimbali, siyo kuleteana makwazo.. tatizo ni kuwa huyo mama mchungaji keshazoea hayo maisha.. na kama kawa mama mchungaji kwa miaka mingi tayari anaona kila mahali anatakiwa kuchukuliwa hivyo hivyo.. na wale wamezoea kupewa siyo kutoa.. sasa kazi kwenu
Viongozi wapo na anabanwa afate taratibu, hapo ndio inakuwa "kanyabazongo" anaona kama vile hapewi stahili yake!!
Ila mie huwa akizidi kuzengua namna makavu laivu bila mawe mawe, hahahahah. Nimependa hapo mwisho ulivyohitisha ni kweli ana penda kupokea kuliko kutoa
 
ahhahaha nakukumbuakag kwenye uzi mmoja uliambiwa sijui unywe dawa za minyooo ulidai maziwa yanawasha hahaha ukauliza ukinywa hizo dawa je utaweza kupombeka?? jaman nilichekaaaaaaaaaaa
hahahahahaahaahha, ni kweli Ijumaa kama hii najiandaa tu nikitoka kwenye hiki kibarua cha Magufuli nikatoe lock hahahahaha.
 
hahahahahaahaahha, ni kweli Ijumaa kama hii najiandaa tu nikitoka kwenye hiki kibarua cha Magufuli nikatoe lock hahahahaha.

ahhaha jipe raha !wakati ndo nhuu shost !utakuja kuukumbuka muda ushakupita !safi jiachie mamy
 
ahhaha jipe raha !wakati ndo nhuu shost !utakuja kuukumbuka muda ushakupita !safi jiachie mamy
hahahha, maneno hayooooo!
kuna watu wanapesa zao lakini wanaumwa mara visukari, moyo, pressure na mengineyo wanazuiliwa kula chips kuku, henken halafu wanalazimika kila siku asubuhi lazima aamke akimbie, au hata kuacha gari zao watembee kwa miguu.
Wacha nile maisha mieeeeee.
Nakutakia wikiendi njema mwaya. Mie sasa na log off nikanywe. hahahaha
 
Hiyo ya kuagiza ka heinken anamind imeniuma huyo mama mchungaji vipiii ni hela yake kwani
 
Komesha yake ni kumchukua baba mchungaji tu wanawake wa ivo wanakuwaga na vilanga na midomo mrefu km michongoma siwezagi kuwa nao karibu kabisa
 
Komesha yake ni kumchukua baba mchungaji tu wanawake wa ivo wanakuwaga na vilanga na midomo mrefu km michongoma siwezagi kuwa nao karibu kabisa

hahahha wewe jana mumeo katoka kutufunda tusishauriane mabaya wanawake tulioolewa !km unakojoaga wewe usimwambie Neybright maana utampa kiraruraru cha kutaka amtafute men anayejua kukojoza !we naye unakuja sema abwebwe mchungaji hahahah my ribs!
 
Lile bandiko sikulielewa ndo maana hata sikucomment maana niliiona talaka ya fasta hahahahahaha
Ke za hivi zinapendaga kupigiwa magoti kitu ambacho sikiwezagi mimi
 
ahaaaa shosti wetu huyu yupo mwanza ukimuitia bia dar anakuja ahahaaa

ahahahhahahahahaha aisee yupo km my friend jaman !akifika counter anaazan tetemeka kila kitu anahamu nacho !haaaaaaaaaaaaaa anazisakanya nyagi hutaamini !dah raha sana !
 
Back
Top Bottom