- Thread starter
- #161
hahaaaaMpe juice ya ukwaju tu kwisha kazi
hahaaaaMpe juice ya ukwaju tu kwisha kazi
Kuabudu maana yake nini?sasa wee una abudia wapi kaka Al-Watan?
hahahahahah, asijaribu mwishowe maana kama hajawahi kunywa akianza kunywa atamzidi hata mwalimu wake.
yaan ile ni hapana bora akae hivo hivoooo
Kujiandalia njia na utaratibu wa kwenda peponi/mbinguniKuabudu maana yake nini?