Wou!
Hongereni sana,
watoto ndo mbaraka mkubwa ndani ya nyumba
i like sana kuckia wanandoa wanaoongelea mazuri ya ndoa
na sio kila siku malalamiko kuhusu ndoa na mahusiano!
keep rocking the boat geantly down the stream!
Amen BelindaJacob
special plans!!!! yeah, hii huwa ni siku yetu wa2. Mungu atakapotufikisha 15 tunaweza jumuika na wengine
asante sana my dear.Wou!
Hongereni sana,
watoto ndo mbaraka mkubwa ndani ya nyumba
i like sana kuckia wanandoa wanaoongelea mazuri ya ndoa
na sio kila siku malalamiko kuhusu ndoa na mahusiano!
keep rocking the boat geantly down the stream!
Amen my dear, hujachelewa rafiki yangu, siku ndo kwanza inaendelea.FP sijui nimechelewa wapi, ndio nauona huu uzi! am soooo happy for u my sister! MAY OUR ALMIGHTY aendelee kuifanya imara na kuwazidishia upendo mara mia kuliko ule uliokupush kuwa naye! ol the best! salamu kwa wakwe zangu!
ha haaaaaaa mlongo wangu umenichekesha sana................. usiende mbali bwana, ni special tu, kwi kwi kwiiiiiiihapa!hapa!hapa kwenye red :director:😛hoto:,yani sipati picha!
Amina SWEET HUSBAND...... nimefarijika na maombi yako, barikiwa piaHongera my dear,Mungu aliekutoa tangu day one to date,azidi kukubariki akufikishe mwisho mwema wewe na mpenzi/rafiki yako!!Mbarikiwe sana sana!!
my dear, upo pande zipi?? pande zile au zile nyingine na wakwe zangu?? salamu zimefika nitakusalia sala yangu, hiyo ndiyo haswa zawadi yangu kwenu!Amen my dear, hujachelewa rafiki yangu, siku ndo kwanza inaendelea.
Wakwe zako watazipata salamu zako muda si mrefu. Barikiwa sana na uwasalimu wakwe zangu pia
my pacha si unajua mambo ya furaha kwa dada yetu wa moyoni FP yani mi huwa najisikia vizuri sana mtu akiilezea ndoa kwa uchanya kiasi hiki.!si utani inahamasisha na wengine kwa kweli!upo lakini my pacha!mimi miss yu kaka!