you are welcome. nimekuwa nikiona uzi za matatizo ya mahusiano kila siku so hii yako ni nzuri because it shows the +ve side. hebu tuambie siri ya mafanikio yako.Amen Blaine, nafurahi kuwa-inspire ambao bado hawajaingia huku, kila kitu kinawezekana kwa msaada wa Mungu
Ndugu zangu wapendwa, leo tarehe 9/10 ni kumbukumbu ya agano langu la ndoa kati yangu na mpenzi wangu miaka 13 iliyopita.
Namshukuru sana Mungu wangu kwa kunipa huyu rafiki yangu kuwa mwenzangu. Ni jambo ambalo sijawahi kulijutia katika miaka yote 13 niliyoishi naye. Nazidi kumwomba Mungu tuzidishe upendo katika haya maisha tuliyoyachagua.
Nawaomba pia rafiki zangu wenye mapenzi mema mzidi kutuombea maisha yenye Upendo, Baraka na Neema.
Aaah watu tulikuwa tunakulia timming kumbe tayari bwana, this is not fair. Well hongera sana na Mnyaazi Mungu akuongezee mingine 13 times 13.
Asante sana pacha wa mdogo wangu snowhite kwa ushauri, maombi na kibao, naamini fundi mitambo BAK atatuwekea soon. Kweli ni safari inayohitaji uwepo na hofu ya Mungu kati yetu, bila hayo ndoa inakuwa jehanamuKutoka kwenye sakafu ya moyo wangu dadaangu FP nakuombea maisha mema ya ndoa..na Mwenyezi Mungu akubariki sana!.....Ushauri wangu: Mti wenye matunda ndio utupiwao mawe..so, be strong as you have been for those 13 years!
Kibao cha kushushia namuomba fundi mitambo BAK akuwekee wimbo wa Diana Ross usemao 'when you tell me that you love me'
Asante sana. naamini Mungu aliyenifikisha hapa atazidi kunipigania "MPAKA KIFO KITUTENGANISHE"Mkuu Hongera sana ila lazima ujitahidi kudumu katika ndoa yako. Hureeee!
Asante sana. hilo neno ni sahihi kabisa kulisema kwake, ni kweli ndo mpenzi wangu.Sijui kwa nini, ila nimependa ulipoandika mpenzi wangu.
Hongera sana na uwe na miaka mingine mingi ijayo for annivesary.
Halafu watoto wako hujawapa majina ya Upendo, Baraka na Neema?
ha haaaaaaaaaa, lakini kama mtu anafwatilia sana post zangu ni rahisi kujua mimi ni mke na mamaNi kweli, ila inabidi mods waweke marital status ili watu wasijekuwa wanaenda chaka hivi lol.
ni vizuri watu wakajua kuwa ndoa siyo maana yake matatizo. ndoa ni furaha, ndo maana watu wengi tunapenda kuingia katika ndoa. kwa mtazamo wangu, matatizo yanatokea tu kama vitu vikuu 3 vinakosekana/vinapotea kati yenu (Upendo, Uaminifu, Uvumilivu). hakuna dawa nyingineyou are welcome. nimekuwa nikiona uzi za matatizo ya mahusiano kila siku so hii yako ni nzuri because it shows the +ve side. hebu tuambie siri ya mafanikio yako.
ha haaaaaaaaaaaKumbe ndo maana pm zangu ulizisukumia baharini ili zianze kuogelea kama sisimizi. Hongera sana na usisite kutupatia uzoefu wako kwa sisi ambao ndio kwaanza harakati zinaanza
Asante sana. hilo neno ni sahihi kabisa kulisema kwake, ni kweli ndo mpenzi wangu.
Watoto wangu wawili (wa kike na kiume) wana majina yenye maana ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU. mmoja wakiume ana jina lenye maana "RAFIKI MWEMA"
siwezi kutaja majina yao hapa ila hizo ndo maana za majina yao
ha haaaaaaaaaaaaaaaa. inategemea mliianzishaje? kama ili kumpata ulitumia ATM kwa nini ukatishe ghafla akishakuwa mkeo? akili kichwaniAaamen.
Usisahau kuwafunda wadogo zako humu kuwa ndoa inajengwa na mama, siyo ATM.
nakumbuka clearly this was our first dance wedding song
Shania Twain - From This Moment On - Lyrics - YouTube
Kila nikisikiliza hayo maneno, najua hatukukosea kuuchagua and we both meant every word BAK unawekaje zile link zako?
kamwali mbona hukuniita mapema!jamani!yani hongera sana mpenzi hebu ngoja nijipange af nikupe neeno zuuuri dadangu mpenzi!mimi love yu sana!Ndugu zangu wapendwa, leo tarehe 9/10 ni kumbukumbu ya agano langu la ndoa kati yangu na mpenzi wangu miaka 13 iliyopita.
Namshukuru sana Mungu wangu kwa kunipa huyu rafiki yangu kuwa mwenzangu. Ni jambo ambalo sijawahi kulijutia katika miaka yote 13 niliyoishi naye. Nazidi kumwomba Mungu tuzidishe upendo katika haya maisha tuliyoyachagua.
Nawaomba pia rafiki zangu wenye mapenzi mema mzidi kutuombea maisha yenye Upendo, Baraka na Neema.
Asante na Amina Dearest.Congratulations dearest, Mungu awaongezee miaka mingine 100 ya mapendo/maelewano kweney familia yako,yap inatia moyo ninaposikia na utamu wa ndoa pia, sio kila siku machungu/majuto.