Wedding Anniversary

wow! I am so honoured Thanda, thank you very much, I really appreciate
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana FP. Miaka 13 ni mwendo mrefu!! Ukigonga 15 unahema na tangu hapo barabara inakuwa imezoeleka so fewer or no accidents. Siku hizi ndoa hata miaka 5 tu unakuwa umesuluhisha hadi kwa viongozi wa dini!!! Khaa!!
 
Ni kweli kabisa Zogwale.
Namshukuru Mungu haijawahi kutokea kusuluhishwa hata na our best friends....................... kila lililotokea miaka yote hii lilikuwa ndani ya uwezo wetu na Mungu wetu.
Kiukweli, mara nyingi tunapotaka kuongea kitu fulani tunapenda kuanza na kusali, ni kama mahakamani unapopewa Biblia kuapa sisi hakuna kuapa ni kumtanguliza Mungu tu then tunaanza maongezi. Unajua hata maongezi ya kawaida tu, labda kuongea kuhusu ndugu yanaweza kuvunja ndoa au kupelekea kusuluhishwa?
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa nimesahau kukupa neno hili hapa namshukuru muungu amenikumbusha tena
Mithali 14: 1
neno hili liwe kama kengele masikioni mwako dada [MENTION]FP
[/MENTION]
 
nilikuwa nimesahau kukupa neno hili hapa namshukuru muungu amenikumbusha tena
Mithali 14: 1
neno hili liwe kama kengele masikioni mwako dada FP
Amen mdogo wangu, nimesoma na kwa kwli namshukuru Mungu nazingatia sana huo mstari katika maisha yangu ya ndoa. najua mimi ndo muhimili mkuu wa Nyumba yangu. Nashukuru sana
 
FP, umegusa jambo jema "SALA'" katika ndoa, ila inapoitwa leo. Kwa hili hata mimi nimedumu katika ndoa miaka mingi sana hata kuisema hapa hapana!!! Ni mingi, yaani wewe naona ni mchanga katika ndoa kulinganisha. Ila yote hayo ni nguvu ya SALA tu!! Tunabaki sasa kuitana kaka/dada or rafiki. Mungu ni mwema. Na ninakuhakikishia njia hii usiiache, dumu nayo
 
Happy anniversary DADA! Mungu ndie kila kitu katika maisha yenu, hongera zimwendee shemeji kwa kukutunza na kuheshimu ndoa ni wachache kama yeye.
 
Namuomba Munguazidi kunifanya nisiiache njia yake. Hongera sana kwa hiyo miaka mingi, nafurahiaga sana kuona ndoa zinazodumu muda mrefu.
sasa unikute naombea ndoa za rafiki zangu ambazo zina migogoro ....... kuna siku hubby akaniambia "kumbe natakiwa kufungua kanisa, maana naona nina mama mchungaji wa nguvu hapa" lol!
anyway, sala ndo mambo yote
 
Happy anniversary DADA! Mungu ndie kila kitu katika maisha yenu, hongera zimwendee shemeji kwa kukutunza na kuheshimu ndoa ni wachache kama yeye.
asante mdogo wangu mdida, nitafikisha salamu kwa shem wako
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…