Website ys open university imevamiwa na Trojan

Website ys open university imevamiwa na Trojan

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,120
Reaction score
5,119
Wadau nimejaribu kufungua website ya OUT na avast anti virus imeblock na kuniarifu kuwa imezuia Trojan virus.
Kama kuna mdau atusaidie na nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia ubuntu ila baadae ubuntu imegoma kufunguka.
 
mwenyewe nimepita inasema hivo,nilikua namchekia jamaa matokeo yake.
kama unacheki matokeo nenda moja kwa moja SARIS inafunguka.
 
Back
Top Bottom