BondJamesBond
Member
- Jul 6, 2011
- 85
- 60
Wanachokifanya hawa wa MALAWI ni Denial of Service attack...sasa washa take over
nyie mko bize kujadili CCM vs CHADEMA
nyie mko bize kujadili CCM vs CHADEMA
mlisema mngehack websites za wa Malawi
naamini wao wanafanya kweli na hawapogi makelele kama nyie
so it has began
dah hii kali kwakweli inamaana hawajastuka tu hadi sasa
Cyber war kama kipindi kile Russia walipoanza vita na Georgia, walianza hacking ya system zote za Banks za Georgia kabla ya kuwachapa.
Pia kuna mtu hapa kaja na jipya hapa kwangu. Anasema hii issue ina connection na ile ya kichapo cha Dr. Uli.
Mi napita tu!
Si mara ya kwanza, nimepata virus kwenye comoputa yangu juzi nilipotembelea website ya TANAPA, na kuna kipindi pia niliwahi kupata shida hii, hasa hasa hizio website za .tz nadhani tunahitaji ku-review security protocol ya .tz
Aibu! Site hii ndiyo ulikuwa ukiitembelea, inasoma hadi IP Address yako na inakuonya kuwa address yako ni.... kuonyesha hauko secure
Umepita ila ndo umeacha alama za vidoleCyber war kama kipindi kile Russia walipoanza vita na Georgia, walianza hacking ya system zote za Banks za Georgia kabla ya kuwachapa.
Pia kuna mtu hapa kaja na jipya hapa kwangu. Anasema hii issue ina connection na ile ya kichapo cha Dr. Uli.
Mi napita tu!