Website ya Wizara ya Afya "hacked"

Wanachokifanya hawa wa MALAWI ni Denial of Service attack...sasa washa take over

nyie mko bize kujadili CCM vs CHADEMA

Stachledraht_DDos_Attack.svg
 
wadau inamaana ndo ishaingiliwa na hackers kwa sasa nimejaribu kufungua imeniletea vitu vya ajabu IT wao anafanya nini?
 
Hakuna cha kushangaza kuhusiana na hii Serikali DHAIFU. Na si ajabu inaweza kuendelea hivyo kwa siku chache zijazo.

dah hii kali kwakweli inamaana hawajastuka tu hadi sasa
 
sishangai, tcu website ina links za porno! Ya taifa huwa wana update baada ya miezi 6!!
 
Cyber war kama kipindi kile Russia walipoanza vita na Georgia, walianza hacking ya system zote za Banks za Georgia kabla ya kuwachapa.

Pia kuna mtu hapa kaja na jipya hapa kwangu. Anasema hii issue ina connection na ile ya kichapo cha Dr. Uli.

Mi napita tu!
 
nimejaribu kuangalia maana ya neno cellat nimepata tabu kupata lakini nilichokipata kinamaanisha cellat=executioner??
swali la pili nimejiuliza why ministry of health?
 
Nackia Hackers wameckia kilio cha madaktari na mateso ya dr. Uli so wameamua kuishikilia website ya wizara kuonesha mshikamano wao dhidi ya udhalimu
 
b4 hajawa hacked hapo kwenye hiyo picha ya hackers palikuwekwa picha ya baba rizmoke
 
b4 hajawa hacked hapo kwenye hiyo picha ya hackers palikuwekwa picha ya baba rizmoke
 
Japo ni kweli sote tunahimiza tena sana mabadiliko kila kona ya nchi yetu hadi huko Wizara ya Afya, lakini hata kidogo siungi mkono HUJUMA YA AINA YOYOTE kwa serikali na wizara zetu.

Hawa wana-CCM wachukia mabadiliko ya kweli tutaendelea tu kusukumana nao mpaka kutokwa makamasi ili mabadiliko yapatikane kwa faida ya walio wengi nchini lakini kamwe sipendezewi na hujuma kama hiyo iliotajwa humu!!!
 
Hatakuwa likizo ya "mwaka mpya" wa serikali kweli? Kwa sababu sidhani kama kuna utaratibu mzuri wa likizo wizarani hapo ifikapo julai kila mwaka, mara nyingi huamngukia mwezi agosti, baada ya bajeti kupitishwa kule bungeni.
 
Si mara ya kwanza, nimepata virus kwenye comoputa yangu juzi nilipotembelea website ya TANAPA, na kuna kipindi pia niliwahi kupata shida hii, hasa hasa hizio website za .tz nadhani tunahitaji ku-review security protocol ya .tz

Aibu! Site hii ndiyo ulikuwa ukiitembelea, inasoma hadi IP Address yako na inakuonya kuwa address yako ni.... kuonyesha hauko secure
 
nimeshtushwa kuona ip adress yangu.
 
Cyber war kama kipindi kile Russia walipoanza vita na Georgia, walianza hacking ya system zote za Banks za Georgia kabla ya kuwachapa.

Pia kuna mtu hapa kaja na jipya hapa kwangu. Anasema hii issue ina connection na ile ya kichapo cha Dr. Uli.

Mi napita tu!
Umepita ila ndo umeacha alama za vidole
 
Hawa wameonesha ushirikiano mzuri kwa kuwaunga mkono madaktari nchini, kwani tafsiri ya cellat ni "wauaji au wanyongaji" tena si kifo tu bali mateso makali na ndipo mauaji ya kikatili.

Kingine hebu tusubiri tuone, hili suala linaweza chelewa kutatuliwa hata mwezi mmoja...tukumbuke ile website ya bunge, iliwahi kaa miezi sita bila update yoyote, hadi lilipoibuka suala la bingwa aliyeibwaga serikali jana "Mahalu, Costa. Prof.

Sasa hili litafumbiwa macho na CCM, kana kwamba hakuna kilichotokea.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom