issam
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 250
- 23
Hellow wadau, natumai hamjambo na muwazima, Aisee nauza website ya habari za udaku, skendo, siasa, mapenzi, mastaa,urembo na nk. Hii website habari hua zinajiandika wenyewe yaani 100% automated. kisha web inatumia plugins za kurewrite post na kufanya ziwe unique na kua indexed na google. Hii site ni mpya kabisa ila inaanza kujulikana kwa kasi. imeanza ikiwa na 0fb fans na sasa ina fans 216 kwa kipindi kifupi tu tangia imeanza. Hii inamaanisa baada ya miezi kadhaa hii site inatua maarufu na itaweza kuingia hela nyingi kupitia matangazo, a special adsense. tangia imeanza mpk leo ishatengeneza $50 kwa muda mfupi tu. so kwa mtu ambaye anandoto ya kumake money online this is big opportunity. Web yenyewe ni hii Udaku Leo Naomba itembelee na kama uko interested toa dau lako utainunua kwa bei gani. bei ni maelewano. SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD