Website ya NACTE inasumbua kufunguka

Cainan

JF-Expert Member
Jun 14, 2017
422
488
Habarini za muda huu wanajukwaa

Kumekuwa na sintofahamu kubwa katika hizi siku chache ambapo madogo wa diploma wakikaribia kufungua vyuo vyao na tarehe tajwa ni 17/10/2022

Kimbembe kinakuja wakati huu watu wakihangaika kupata matokeo yao, ambapo wanakutana na hio changamoto leo ni siku ya pili website haifunguki kabisa

Sasa wanachojiuliza sana ni kwamba kuna matatizo gani au website wameimehack maana sio kitu cha kushangaa katika ulimwengu huu wa kidigitari

Lingine ni mfumo gani nacte wanatumia kuwapa matokeo yao wanafunzi ?

Yeyote aliyepatwa na tatizo hili au kaligundua mana madogo pressure juu?
 
kweli, kuna shida sana kwenye mtandao. Wazazi/watoto hawajui fate yao ni pipi, CEO wa NACTE amenyamaza.
 
Habarini za muda huu wanajukwaa

Kumekuwa na sintofahamu kubwa katika hizi siku chache ambapo madogo wa diploma wakikaribia kufungua vyuo vyao na tarehe tajwa ni 17/10/2022

Kimbembe kinakuja wakati huu watu wakihangaika kupata matokeo yao, ambapo wanakutana na hio changamoto leo ni siku ya pili website haifunguki kabisa

Sasa wanachojiuliza sana ni kwamba kuna matatizo gani au website wameimehack maana sio kitu cha kushangaa katika ulimwengu huu wa kidigitari

Lingine ni mfumo gani nacte wanatumia kuwapa matokeo yao wanafunzi ?

Yeyote aliyepatwa na tatizo hili au kaligundua mana madogo pressure juu?
Kwan matokeo huwa mnaangaliaga kweny website ya Nacte..
 
Kuna webpage ya students information verification kwenye hio website ambapo kila mwanafunzi anatakiwa afatilie status ya matokeo yake
 
Habarini za muda huu wanajukwaa

Kumekuwa na sintofahamu kubwa katika hizi siku chache ambapo madogo wa diploma wakikaribia kufungua vyuo vyao na tarehe tajwa ni 17/10/2022

Kimbembe kinakuja wakati huu watu wakihangaika kupata matokeo yao, ambapo wanakutana na hio changamoto leo ni siku ya pili website haifunguki kabisa

Sasa wanachojiuliza sana ni kwamba kuna matatizo gani au website wameimehack maana sio kitu cha kushangaa katika ulimwengu huu wa kidigitari

Lingine ni mfumo gani nacte wanatumia kuwapa matokeo yao wanafunzi ?

Yeyote aliyepatwa na tatizo hili au kaligundua mana madogo pressure juu?
Pole buana! nakuona kama dishi limeyumba vile by dr. from Milembe hosp.
 
Mtu aliyeandikiwa submitted na yule wa confirmed kuna kua na tofauti gan kweny status

Kwann watofautiane na matokeo bdo
Ukishaandikiwa hivo si tayari tofauti ? ..kwa sababu yakishatumwa tu mwanzoni status inakuwa submitted na baadae inaenda kuwa confirmed, hasa nashangaa kwa wengine haijabadilika na muda unakaribia mwisho
 
Mtu aliyeandikiwa submitted na yule wa confirmed kuna kua na tofauti gan kweny status

Kwann watofautiane na matokeo bdo
Not submitted- result not submitted to nacte
Submitted- result zimefika lakini hazijawa verified
Confirmed-result verified by nacte
 
Back
Top Bottom