Website ya Mahakama Kuu Leo haipatikani

Website ya Mahakama Kuu Leo haipatikani

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,191
Reaction score
8,394
Wakuu nimejaribu kuaccess website ya mahakama Kuu ya tanzania leo hii tarehe 19 may 2025 Saa 10:08 Asubuhi bila mafanikio Domain ya site hio ni www.judiciary.go.tz

Nimefanya Ivo ili nione kama kunaweza Kuwa na Update zozote juu ya Case ya Tundu Lissu inayotarajiwa kusikilizwa leo mahakama ya Kisutu

Katika Ulimwengu huu wa Tehema ni Vyema sana wananchi tukawa updated timely tena izo updates zisiwe Na bias kabisa Kwasbabu taarifa zote tunazihitaji kama Wananchi
 
La Jaji Mkuu mstaafu Willy Mutungi haliwezi kuwa na afya popote.

Ngoja kwanza tufiche nyuso zetu kwanza.

Kwamba tulielezea hilo vipi sasa?
 
Back
Top Bottom