Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

chadema ina website, unless kama mimi sijui nini maana ya website tembelea www.chadema or.tz
 
Mbona ipo chief, kagoogle CHADEMA utakutana na home page yake.
 
Chadema mambo mengi hawajipangi kitasisi kuna mengi kama website, kuwa na makao makuu ya chama ni tatizo kazi yao ni kupanga ili walipe mamilioni, hata kuwa na chuo maalumu cha kisiasa ni hadithi zisizoisha. Mfano angalia hata suala ka m4c wanamuachia mawazo pekee ndo aende vijijini. Chadema kwa kuigiza wanaweza!
 
Kidumu chama cha mapinduzi , kasoro zipo lakini sifa na uzuri ws mipango yao yapo
 

Kufungua tovuti haizidi dola 20, tatizo ni utapata wapi watu watakaowezesha tovuti yako kuwa- on air na kutoa habari kwa muda muafaka! Kinachoshindikana ni mtaji wa kuajiri watu wanaoweza kufanya hiyo kazi ya kujitolea !
 
[QUOTE=nkongu ndasu;Chadema mambo mengi hawajipangi kitasisi kuna mengi kama website, kuwa na makao makuu ya chama ni tatizo kazi yao ni kupanga ili walipe mamilioni, hata kuwa na chuo maalumu cha kisiasa ni hadithi zisizoisha. Mfano angalia hata suala ka m4c wanamuachia mawazo pekee ndo aende vijijini. Chadema kwa kuigiza: WEWE NDO UNAIGIZA NDUGU, MAMBO YOTE YANAKWENDA KWA VIPAUMBELE, Huwez kukurupuka tu kama wewe ulivyoorodhesha. Mawazo hajaachiwa M4C, na kwa taarifa yako hii ni opareshen maalum kichama na ipo nchi nzima. Suala la ofis fanya utafiti na si kuropoka
 
jamani hajasema haipo!!!! bali links zake nyingi hazifanyi kazi ! Msimshambulie alio_post.
 
chama oyeeeeeeee!
Naomba kukueleza chadema tuna website kwa muda sasa!

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 

Pia nashauri iwekwe wazi ikiwezekana hata humu jamvini ili iwe rahisi kuifahamu, wengine hawaifahamu.
 
Kwa kweli hawako dynamic ktk hili,kuna umuhimu wa kulitafakari kwa umakini suala la website
 
kazi ya mnyika ni kumbana waziri husika hoja yako ipeleke lumumba haina mshiko au wapelekee wajumbe wa nyumba 10 waccm ha ha ha
 
 

Attachments

  • Capture.....PNG
    6.5 KB · Views: 50



Website ipo Mkuu ila inatakiwa kufanyiwa maboresho makubwa.
Bonyeza linki hii hapa:
Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA

Lakini naona ipo "UNDER CONSTRUCTION". Nadhani ushauri wameusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…