Kama sikosei hii ni zaidi ya mara ya pili hili suala linaongelewa hapa bila hata kupatiwa majibu......ptuuuuuuuuuuu
Ukifungua tu ina majibu safi kabisa.. sasa unauliza nini hapa?
Haya ndio majibu. funga thread yako
Webiste under Construction...
Contact us:
Email: info@chadema.or.tz
Nenda kwa ofisi moja kwa moja.Chama usikute hakina wataalamu wa IT.Chezea siasa wewe
Josephine si alikuwa mtaalamu wa IT wa kanda nzima ya Afrika?
Au watu mmezidi kumlalamikia sasa hata kazi ndogo anashindwa kukisaidia chama?
Mpuuzi mwingine website inawajua sana wapuuzi mimi nimepata all infomation. Rudi Lumumba ukachukue posho halafu anzisha thread nyingine hapa umebugi kwa shule inayoishia Lumumba
Website uliyotumia kupata info za chadema ni ipi? Weka link hapa tuione.
Kwa taarifa website ya siku nyingi ya chadema na ambayo ndio iko kwenye vipeperushi vyao vingi ni:
www.chadema.net
Lakini hata kama wamebadilisha basi inabidi hiyo Chadema.net waifute.
Ukija hii ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA inaonyesha iko under construction. Hii ni mpya na huko nyuma haijawahi kuwa na habari zozote za chadema.
Kama kuna mabadiliko inabidi waandike wazi. Lakini kama mlivyo wapuzi baadhi ya wanachama wa chadema, mtu akiandika chochote kuhusu chadema, mnachachamaa hata bila kuelewa lengo la mwandishi ni nini.
Tengenezeni hizo websites zenu maana chadema ni chama kikubwa haiwezekani una search website yake unaingizwa kwenye webpages zenye mambo ya ajabu ajabu.
Upuzi huu huu wa kudharau website ndio walikuwa nao hata bunge huko nyuma ila sasa wamejirekebisha.
Hivi website ya chadema ya www.chadema.net ina matatizo gani?
Kuna info nilikuwa natafuta kutoka kwenye website yao na nimeshindwa kupata official website ya chadema.
Wahusika tafadhali rekebisheni hilo tatizo.
Ahsante mkuu hutaipata na mimi nafurahi huipati mimi naipata nenda Lumumba kachuke posho.
Nilisahau kumbe wewe ni wa azimio la Nape? Umeharibu siku yangu
Join Date : 4th February 2007
Posts : 522
Rep Power : 720
Likes Received52
Likes Given4