website inasema ili ujue misimamo,sera na KATIBA zao lazima uwe na password ndio utapata kuingia kuisoma. iN SHORT chadema wameamua kuifunga website yao kwa wananchi
Hiki ndicho chama mbadala ambacho kinategemewa kuchukua nchi in 2 years time
soma hapa:
http://www.chadema.or.tz/
kazi tunayo maana kila nikijaribu kujua tofauti kazi ya CHADEMA na CCM nashindwa kupata tofauti.
nimejaribu kumrushia katika tweeter yake akiiona may be atatupa majibu!Wamekusikia! Tafadhalini JJ Mnyika toa majibu hapo.
nimejaribu kumrushia katika tweeter yake akiiona may be atatupa majibu!Wamekusikia! Tafadhalini JJ Mnyika toa majibu hapo.
Usije mlaumu Mnyika yuko busy kutatua kero za wananchi wa Ubungo kwani ni Novemba 2012, hadi hivi sasa uetekelezaji wa ahadi alizozitoa wakati wa kampeni 2010 ni chini ya 10%
kama kawaida JF watu wanaacha kujadili mada wanashambuliana wao kwa wao! inatia huruma sana namna jf inavozidi kupoteza sifa!
ni muda sasa web bado kingu mkuti sijui kunanijaman turudi ktk mada
nani anahusika na weeb ya chama chetu chadema? tunahitaji mabadiliko!
Uhuru mlopewa watanzania mnautumia vibaya na iko siku mtaukumbuka tu hiv ukiulizwa utoe fact za tuhuma unazotoa kwa Rais wako na nchi kwa ujumla unazo? hizo ndio siasa za majitaka