Website ya bunge ni ya kichochezi

tihii hii hiiiii..................jamani yeye ni waziri haulizi anaulizwa tuu wajameni!!

Hapana mkuu, wako mawaziri wengi tu hawaongei lakini wanatoa michango ya maandishi, hiyo huwa inachukuliwa na kuwekwa kwenye kumbukumbu zao. Mpaka sasa hakuna aliyevunja rekodi ya rostam aziz, maana jamaa alikamua miaka mitano iliyopita kabla 2010, akipata zero kwenye maeneo yote matatu.

Jamaa kilaza huyo, hawa ndo mazuzu wanaoishi kwa kugonga meza muda wote na kuomba miongozo na taarifa kila anapoongea mbunge wa CDM.
 
Huyu jamaa ni tikiti maji kweli. yaani muda wote huo kashindwa hata kutoa contributions zake kwa maandishi. watu kama hawa wanaishi kwa raha sana duniani maana hawana la kufikiri zaidi ya kula, kunywa na kulala tu maishani mwao
 
Back
Top Bottom