Peter mwanga
New Member
- Sep 19, 2019
- 2
- 0
Naomben kujua maana yake na inakazi gan
Wrong...hii ni forum sio website, website kazi yake kubwa ni kutoa taarifa tu, ndani ya website kuna uwezekano wa kuwepo na kitu kinaitwa system (kazi ya iyo system ukuchua taarifa na kupoea taarifa na kuzichakata)Hii unayotumia yaani jamii forum ni website. Website ni mkusanyiko wa kurasa za mtandaoni zilizo pangiliwa kimantiki kwa lengo la kutoa taarifa (information) au kuchukua taarifa kutoka kwa watumiaji