Website gani ya kudownload Korea series?

Wadau hebu nisaidieni majina ya series za kikorea zenye romance nyingi ndani yake.

Nawasilisha.
 
Naona unataka kuji boost

Hahahahaa. Lol.

Amna bhana niko na mtu mwenye kupenda hizi series tunataka ku-dwnld ndo anaulizia.

Hapendi sana za mishale mingi wala mapanga mkuu.

Hope umenipata kiongozi. Help me.

Thanks.
 
series mbili best ambazo hazina action ila pia hazina mapenzi sana nilizoziona ni
-six flying dragons ya kikorea
-nirvana in fire ya kichina (wuxia)

sema zinahitaji concetration kubwa sana,

pia ipo nyengine ya kichina wuxia inaitwa sound of the desert, ni nzuri haina action nyingi

hii wuxia ni genre mpya, pengine hajawahi ona kitu kama hicho, kama ataipenda hio nirvana in fire au sound of the desert zipo drama kibao za hivyo.
 
Nathamini sana mchango wako mkuu.

Thank you so much CHIEF nta-zidownload usiku niziangalie mkuu.

Well, hizi hazipo pale kwenye ile thread yako ya [HASHTAG]#directxlinkxmegaxthread[/HASHTAG] mkuu...?

Pengine itakuwa rahisi zaidi kuzi-download broh.

Thanks a lot.
 
series mbili best ambazo hazina action ila pia hazina mapenzi sana nilizoziona ni
-six flying dragons ya kikorea
-nirvana in fire ya kichina (wuxia)

sema zinahitaji concetration kubwa sana,

pia ipo nyengine ya kichina wuxia inaitwa sound of the desert, ni nzuri haina action nyingi

hii wuxia ni genre mpya, pengine hajawahi ona kitu kama hicho, kama ataipenda hio nirvana in fire au sound of the desert zipo drama kibao za hivyo.
Hivi mkuu website gani au app ambayo ntapata series nzuri kwa mtindo wa 360p au 480p kwa less MB let say chini ya 150MB maana nakutana na ma 1080p ambayo ina ma GB mengi pia kwangu sioni umuhimu wake maana tu hata nikipata version ya 240p naona clear kabisa simu naomba msaada kwa hili katika movies za kizungu na korean dramas. Terrarium noana iko discountinued kwa sasa.
 
Tumia cinema HD kama mbadala wa Terrarium
 
Attachments

  • cinema-hd-1.4.3.apk
    16 MB · Views: 55
Back
Top Bottom