Webmasters fanyeni updates ya website zenu

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,915
709
Katika kupitiapitia website zetu za Tanzania, nimegundua nyingi hazifanyinyi updates.
Moja ya kiashiria kikubwa kwamba site ipo up-to-date ni ile sehemu iinayoandikwa "Copyright © Current-year. Website-name. All rights reserved." Japo haimaanishi kwamba website ikiwa inasomeka na copyright ya 2006 maana yake haijawa updated toka 2006, ila ni kiashiria kwamba webmaster hayuko serious kwenye kyfanya update.
Kwa website za wenzetu ukiangalia utagundua kuwa inapofika tarehe moja mwaka mpya, na website inakuwa inasomeka copyright ya mwaka huo. Saiv tupo 2012, lakini kuna baadhi ya website bado zinasoma 2005.

Baadhi ambazo zinaonesha copyright ya miaka ya nyuma:


Baadhi ambazo ziko updated (Copyright 2012)

USHAURI: Webmasters wekeni automatic scripts ambazo zitajiupdate zenyewe unapofika mwaka mpya.
 
halafu unafikiri script yenyewe ya ku update mwaka ni maneno mengi basi ni hivi tuu
<?php
echo date('Y');
?>

wanaita PHP
 
Back
Top Bottom