MAMBO: Samahani kwa kukuarifu kwamba ailiekua anatoa course hii amefariki 2015. ila usiwe na wasi was ku mimi najua teknolojia hii kwaiyo kama una swali lolote kuhusu hii tek please ni pm mimi ntakusaidi napia kuahusu swali ulilo uliza hapo.Nimejaribu kupitia kumbu kumbu za msamiati sijaangalia tutor zake sijaona sehem alipo sema folder maalum kwaiyo ninge kuomba utoe maelezo zaidi ili niwezee kukusaidia ASANTE