FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,103
- 2,774
Niliuwa napitia thread hii nikawa nimefurahi sana mwanzon maana nina passion na web designing ila sikupata lugha sahihi ya kujifunzia.
Hakika nimepata huzuni sana kuona host wa thread alifariki.Da hiki kifo jaman.Mungu amrehemu msamiati kwa kazi nzuri aliyoifanya hapa jf.
Hakika nimepata huzuni sana kuona host wa thread alifariki.Da hiki kifo jaman.Mungu amrehemu msamiati kwa kazi nzuri aliyoifanya hapa jf.